Nikifa mke wangu asiolewe

Nikifa mke wangu asiolewe

Ukifa habari yako imeisha, ya duniani haya kuhusu tena kwa hiyo kama mkeo anavutia lazima tumuoe.
Ukiwa unaongea hivyo kama nani yaani?
Mzee hii dunia utaona chungu mpaka utajichukia nitafanya kila niwezalo
 
Nikukoswa ustaarabu kuoa mke wa marehemu . mke wa mwanaume mwenzio hata kama amefariki Nivyema na haki
asiolewe na mwanaume yeyeto yule.

Hii inauma sana na hata ukibahatika kuingia peponi bado mawzo yako yote yatakuwa kwa mkeo.
Ebu tuweni na adabu hata kidogo.. .... wanawake ni wengi wapo wengi sana kwanini ung'ang'anie mke wa marehemu?

Binafisi NIKIFA MKE WANGU ASIOLEWE.
 
Salamu wanajf!!
Kakitaka kitu kitaniuma humu duniani nikusikia mke wangu kaolewa !!

Anatembea na nusu wa moyo wangu ,kusema ukweli siwezi kuvumilia kuchukuliwa na mwanaume mwingine na kuanza kupigwa show .

Ivyo basi nikifa asiguse
Everything remind of her ,anytime anywhere
Bwata limelolea pole sana mkuu uyo mkeo mpaka muda huu kuna mwamba anapiga sana tu adi ambapo wewe hupigi
 
Nikukoswa ustaarabu kuoa mke wa marehemu . mke wa mwanaume mwenzio hata kama amefariki Nivyema na haki
asiolewe na mwanaume yeyeto yule.

Hii inauma sana na hata ukibahatika kuingia peponi bado mawzo yako yote yatakuwa kwa mkeo.
Ebu tuweni na adabu hata kidogo.. .... wanawake ni wengi wapo wengi sana kwanini ung'ang'anie mke wa marehemu?

Binafisi NIKIFA MKE WANGU ASIOLEWE.
Yaani tutaelewana tyu
Kuna miamba haisikiagi hadi utumie mabavu
Am ready kupimana uanaume
 
Back
Top Bottom