Nikifanya tendo huwa naumia sana kama ndio mara yangu ya kwanza

Nadhani humu nitapata ushauri wa kitaalamu zaidi

Yaani mimi wakati wa sex ninaumia sana sio kidogo sanaaa imefikia hatua hadi nalia kabisa nashindwa kujizuiaa

Ni kwamba naumiaa… yaani ni kama vile ndio natolewa bikira.. yaani imekuwa kero mpk najisikia vibaya na mpnz wangu wakati mwingine hanielewi anahisi kuwa namuigiziaa, ukweli ni kuwa naumia mno.. na ikipita kama ataanza upya inaanza upya kuuma… yaani kila akitaka kuchomeka inauma sanaaaaa

Ananiandaa vizuri mpk yeye mwenyewe anasema inakuaje naumia wakati sio mkavu[emoji15]

Size yake ni kawaida sema ndiyo hivyo inabidi nijikaze sana ndy ipitee

Nimeshapima magonjwa yote sinaaa kusema labda fungus, PID vyotee sinaaa…

Imekuwa kero sio raha kiasi kwamba ikifika hatua hiyo natamani hata isitokee… ninampenda na nina hisia nae… ni mwanaume wangu wa pekee

Naomba kujua mwenye msaada na hili
Pole sana dada , nunu ni ndogo sana au ? Umeshajaribu kutumia KY jelly?
 
Kwa kilainishi unaikuta tu, imooo, ila bila kilainishi inakuwa kazi kidogo
Umenikumbusha dada poa wa Buguruni. Mkipelekana chocho au kwa babu akisha pandisha gauni na kuvua kyupi anainama na kujipaka mate ukeni ndio anakushika na kukuingiza kwenye utamu.
 
Nadhani humu nitapata ushauri wa kitaalamu zaidi

Yaani mimi wakati wa sex ninaumia sana sio kidogo sanaaa imefikia hatua hadi nalia kabisa nashindwa kujizuiaa

Ni kwamba naumiaa… yaani ni kama vile ndio natolewa bikira.. yaani imekuwa kero mpk najisikia vibaya na mpnz wangu wakati mwingine hanielewi anahisi kuwa namuigiziaa, ukweli ni kuwa naumia mno.. na ikipita kama ataanza upya inaanza upya kuuma… yaani kila akitaka kuchomeka inauma sanaaaaa

Ananiandaa vizuri mpk yeye mwenyewe anasema inakuaje naumia wakati sio mkavu[emoji15]

Size yake ni kawaida sema ndiyo hivyo inabidi nijikaze sana ndy ipitee

Nimeshapima magonjwa yote sinaaa kusema labda fungus, PID vyotee sinaaa…

Imekuwa kero sio raha kiasi kwamba ikifika hatua hiyo natamani hata isitokee… ninampenda na nina hisia nae… ni mwanaume wangu wa pekee

Naomba kujua mwenye msaada na hili
Nenda kaombewe, una majini mahaba.
 
Labda ujaribu tundu la pili kama moja unashindwa kama figo tu likifeli moja linatumika lengine
 
Sasa madam… haiumi kwa ndani inauma nnje yaani anapoanzaa kuingizaa na pembeni mwa nyama

Chukulia mfano huu ukiwa umeweka hivi vidoe[emoji108]halafu kipite kitu hapo kati kama kina force hivi sasa pembeni yake laZima kutanuke kuwe kunauma

Hii shida namimi nishaexperience miaka ya nyuma kwa mke wangu ila ilikuja kuisha automatic ye alikua anaumia upande wa chin kwenye mlango wa kuingilia uume, nilimkagua nikagundua maana ndo kulikua kunatatuka kidogo kwaiyo kuna baadhi yamikao tuliacha kutumia maana ilikua inamuumiza zaidi.

Nilipata ushauri kwa wataalam but sikuridhika nao na nikagundua shida hii hupata watu wenye shida ya upungufu wa vitamins maranyingi unaweza kuta washawahi kuexperience hata kukaukwa kwa mdomo kipindi flani watu wa ivi na kuumwa macho sana kwa kuwasha hasa kipindi cha kiangazi.

Inshot ilo tatizo lipo kwenye lishe yako na sio kwamba lipo tuu kwenye uke pekee ni mwili wote hasa ngozi ya nje inakua haiwezi kuhimili frictions za haina yoyote wala kutanuka.

Tiba, nenda hospital kubwa nzuri utapata ushauri wakutosha ila nachojua mimi tatizo lako ni la vitamins na basically linanzia kwenye lishe.
 
Maumivu yako yakoje?
napambana tuu kwa kweli maumivu yakizidi natumia metronidazole +miconazole, maumivu ya kawaida ya kila siku natumia tube za steroids+antibiotics +anti fungi na vaseline.wakati wa sex natumia hyluronic gel.hapo ndo at least naweza kusex na pia wakati wa sex hakuna nje ndani. pia kila siku nakunywa probiotics supplements
 
Yaani wewe umenielezea kabisaa tatizo la mkeo ndio mimi ninalo.. Kama umezungumza macho kuwasha Mimi huwa nawashwa sana mpk nihisi ni alleg… na midomo pia hukaukaa mara chache chache

Asante kwa ushaurii ndugu
 
napambana tuu kwa kweli maumivu yakizidi natumia metronidazole +miconazole, maumivu ya kawaida ya kila siku natumia tube za steroids+antibiotics +anti fungi na vaseline.wakati wa sex natumia hyluronic gel.hapo ndo at least naweza kusex na pia wakati wa sex hakuna nje ndani. pia kila siku nakunywa probiotics supplements
Polee sana.

Unasema ilianza baada ya kujifungua, ulijifungua kawaida?

Ulivoenda hospitali, doctor alisemaje?

Hizo dawa uliandikiwa doctor?
 
Back
Top Bottom