Nikifanya tendo huwa naumia sana kama ndio mara yangu ya kwanza

Nikifanya tendo huwa naumia sana kama ndio mara yangu ya kwanza

Maumivu yakizidi jaribu na kwangu uangalie tatizo ni kyuma au huyo jamaa yako!! Wakati mwingine labda n staili ya kukuzagamua sio rafiki kutokana na maumbile yako.... Njoo nikutest katereroo ukiumua aloo njoo unitangaze hapa🏃🏃🏃
 
Hio Hali nilishawahi kutana nayo kwa demu wangu mmoja.

Ikifika stage ikawa Sasa ni kero kubwa kwangu.

Stimu na mzuka unakata duduwasha ikawa inasizi nikawa kama nisie na nguvu za kiume.

Maana analala Ile mbaya.

Kuna siku nikaona huyu ananitania nikaforcs kupiga torque/hard penetration alipiga UKINGA huo na nikapigwa bonge la bao na kusukumwa huko.

Nikawa Mtu wa mawazo sana sikufarahia tena huu uhusiano.

Akaanza kujidai Hana shida eti shida ninayo Mimi wakati nameona kabisa ana shida.

Nikaona asinitanie nitafuta mcheps nikala mzigo kutest tu zana zangu kama ziko Ok.

Hii ishu ni Moja ya sababu zilizonifanya nimpige chini na zinginezo nyingi.

Japo sikumwambia ila ikifika stage kwangu ni stress na kero mfululizo

Japo alikuwa mwanamke anaejielewa ila ilibidi Kila mtu aende njia yake.

Sometimes nikawa nahisis pengine huyu alishawahi BAKWA huko udogoni ndio kupeleka hayo maumivu.

Ni tabu tupu.
Hahahaha hatariii
 
Pisi za aina hii zipo vyema sana ila changamoto n hapo kwenye kuumia. Cycle yao ya mapenz ni ndogo mno huwa hawana wanaume wengi kwa sababu ya tatizo lao alafu n watulivu. Kuna muda wanaona mahusiano sio muhimu kwao, inahitaji uvumilivu kuwa na mwanamke wa hh

napambana tuu kwa kweli maumivu yakizidi natumia metronidazole +miconazole, maumivu ya kawaida ya kila siku natumia tube za steroids+antibiotics +anti fungi na vaseline.wakati wa sex natumia hyluronic gel.hapo ndo at least naweza kusex na pia wakati wa sex hakuna nje ndani. pia kila siku nakunywa probiotics supplements
Duuh pole sana ndugu izi zote nikumlidhisha mtoto wa Mama mkwe aisee pole
 
Zipo pessaries na cream...ni antifungal

Napenda zaidi pessaries,pessaries zipo tatu kwenye kibox
Unaweka huko kwenye vaginal kila siku usiku kimoja kwa siku tatu

Kumbuka kuwasiliana na doctor kabla ya matumizi
Hiko kiungo ni very complex!!! Yani kidonge hiko hakianguki ukisimama ?
 
Hivi wakuu, madoctor huwa hawanjunji wagonjwa wa hivi ? Yani wewe ni Doctor anakuja mgonjwa kama huyu inabidi umkague huko
 
Hiko kiungo ni very complex!!! Yani kidonge hiko hakianguki ukisimama ?

Ndio maana ni vizuri ukitumia muda wa usiku,wakati wa kulala
Halafu ni kidonge kilainiiiii ambacho kinapasuka na kuwa kama uji uji
 
Manzi yangu alikua na tatizo kama lako baadae likaisha lenyewe. Ila kwa kesi yangu mashine ilikua kubwa so K yake ikatanuka ikawa stable.
 
Nadhani humu nitapata ushauri wa kitaalamu zaidi

Yaani mimi wakati wa sex ninaumia sana sio kidogo sanaaa imefikia hatua hadi nalia kabisa nashindwa kujizuiaa

Ni kwamba naumiaa… yaani ni kama vile ndio natolewa bikira.. yaani imekuwa kero mpk najisikia vibaya na mpnz wangu wakati mwingine hanielewi anahisi kuwa namuigiziaa, ukweli ni kuwa naumia mno.. na ikipita kama ataanza upya inaanza upya kuuma… yaani kila akitaka kuchomeka inauma sanaaaaa

Ananiandaa vizuri mpk yeye mwenyewe anasema inakuaje naumia wakati sio mkavu[emoji15]

Size yake ni kawaida sema ndiyo hivyo inabidi nijikaze sana ndy ipitee

Nimeshapima magonjwa yote sinaaa kusema labda fungus, PID vyotee sinaaa…

Imekuwa kero sio raha kiasi kwamba ikifika hatua hiyo natamani hata isitokee… ninampenda na nina hisia nae… ni mwanaume wangu wa pekee

Naomba kujua mwenye msaada na hili
Ulipata suluhu boss
 
Jaribu rough road once more time ilimradi Uenjoy Cha muhimu hakikisha unapopita rough road Vaa helmet
 
Back
Top Bottom