Nikifanya tendo huwa naumia sana kama ndio mara yangu ya kwanza

Bro huyu demu wako kanishinda tabia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndo kusema K karithi jina la ankal wake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hilo limeenda, Kama ana jina lingine badilisha fasta[emoji23]
 
Hivi wakuu, madoctor huwa hawanjunji wagonjwa wa hivi ? Yani wewe ni Doctor anakuja mgonjwa kama huyu inabidi umkague huko
Kama n mrembo anakutongoza hukohuko,na akiona huelew atatengeneza mazingira uwe unaenda mara kwa mara hospital kujifanya anafatilia hali yko,usiulize nimejuaje.
 
Update:

Nilienda hospital nikacheck tena nikakutwa na PID

Haya wale waliowahi kuugua PID na kupona waje hapa na dawa walizotumia

NB: Sitomfuata mtu inbox kama ana ushauri aweke hapa
 
una jini mahaba, halipendi mtu mwingine akufanye. Mungu akusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…