Nikifugia samaki kwenye kisima watakubali? Kambale

Wanaishi vizuri kabisa ila lazima uwalishe huwa hawali sana ni kidogo tu.

Jambo lingine angalia aina ya vyura waliopo hapo wasije wakala vifaranga vya kambale.

Pia hapo tegemea kupata kambale pungufu ya idadi utakayoweka. Kwanini pungufu ni kwasababu kambale hawazaliani kwenye maji yaliyotwama. Mfano ukiweka vifaranga 400 basi tegemea kuvuna kambale 300 au 200+

Ni mradi mzuri kama ulipo kuna wala kambale.
 
sasa nawaza ukiwa unatilia chakula si maji yatachafuka nitashinda ya kutumia
 
Kwa akili hizi sasa nimeelewa kwanini kule tulibishana sana muda mrefu
😂😂😂😂tunabishana kwasabab ya value si kwasababu ya kutafuta maarifa! hamna aliye tayari kubadilika
 
Ni wapi huko?. Kambale anakubali tu visimani. Tena ni muhimu ksbb ksbb pia wanasaidia kuchimba kisima. Nakumbuka zamani sisi ilikuwa kila mwenye kisima lazima kuna kambale ndani. Hawana shida. Ila wasiwe wengi sana. Watatibua maji
 
Mbegu za kambale Kwa Dar zinapatikana wapi
 
Ni wapi huko?. Kambale anakubali tu visimani. Tena ni muhimu ksbb ksbb pia wanasaidia kuchimba kisima. Nakumbuka zamani sisi ilikuwa kila mwenye kisima lazima kuna kambale ndani. Hawana shida. Ila wasiwe wengi sana. Watatibua maji
hii nimeichukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…