Nikifugia samaki kwenye kisima watakubali? Kambale

Ni wapi huko?. Kambale anakubali tu visimani. Tena ni muhimu ksbb ksbb pia wanasaidia kuchimba kisima. Nakumbuka zamani sisi ilikuwa kila mwenye kisima lazima kuna kambale ndani. Hawana shida. Ila wasiwe wengi sana. Watatibua maji
Kisima cha aina gani ? kile cha kuchimba chenye mfinyazi ndani sivyo?
 
Wanakuwa vizuri tu... tena hata perege.

Kipindi nalima mboga mboga nilikuwa nawavua kwenye visima ambavyo nilikuwa natumia kumwagilia mboga.

Hata humo kama ni kisima kisichokauka waweza kuta wapo sema ww hujui.
 
Kambale ni samaki waajabu sana Kuna bwawa lilikausha maji kabisa ukapita kama mwezi na sehemu tukaweka watu watoe tope Kwa maandalizi ya masika Cha ajabu tuliwakuta kambale wakubwa tu na wapo hai kabisa nilishangaa Sana na kuanzia hapo niliwaepuka kuwala.

Unaweza kuwala mwisho wa siku ukasikia tumboni Wana shake hapo Sasa ndo utajua hujui
 
Ni meongea na hao vyura wamesema iwapo utawaletea hao washenzi basi jua hapo kwako UDUGU UMALA ,UBAYA UBWELA
 
Ni
 
Kambale unawapa chakula gani ambacho kinapatikana kwenye mazingira yetu ya kawaida?
 
Nimefugia kweny simtank la lita 5000 wako vizuri kabisa
 
想要成功,那么你需要的就是无知和自信

Xiǎng yào chénggōng, nàme nǐ xūyào de jiùshì wúzhī hé zìxìn

To succeed, all you need is ignorance and confidence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…