Nikifungua kanisa, hizi ndizo zitakuwa Amri zangu

Nikikumbuka siku Ile nilipokutana na mchungaji wa kanisa analosali wife tukakutana kwenye foleni kwa mganga wa kienyeji usiku wa saa tano mpaka Leo siwaamini sana hawa watu!
Ukiangalia mimi huwa naenda kufuata dawa kwa ajili ya biashara yangu ya majeneza sasa huyu nabii alifuata nini kwa mganga usiku ule au alienda kumwombea mganga?
 
Fanya kila kitu ila usidharau mambo ya mungu wewe ninani uwe na amri kumi wewe sio mungu ni takataka tu mshenzi tu hayawani. Umewahi mwona nani amebadili kitu cha Mungu awe mwamposa john devi . Au nani wewe ninani kwanza unaweza vuruga vitu vya Mungu.

Jingine unaakili za tito na kanisa lako.litafungiwa mapema sana
 
Mkuu hiyo ni siri ya kambi usivujishe tafadhari. pia nimeitolea angalizo kwenye amri ya 7 maana najua tunaweza kutana huko mradi ukabuma
 
pita hivi kimyakimya. mmeshindwa kuwa lalamikia haoulio wataja uje unilalamikie mimi? wapini mebadiri amri za Mungu ? hizi ni amri za kanisa langu mimi ndo mwenye kanisa. kafungienin la kawe kwanza na la zumaridi
 
Kanisa ni mali ya Mungu, wala sio mali ya mtu binafsi, hilo ndilo kanisa la kweli. haliji kwa fikra za nini muanzilishi anapenda kiwe au kisiwe, Roho Mtakatifu ndio anatakiwa akuongoze, kama unaye, na kama umeokoka manake usipookoka hauwezi kumpata Roho Mtakatifu, na kwa jinsi ulivyoandika hapa ni wazi wewe haujaokoka na hautampata Roho Mtakatifu hadi uokoke.

kwa kifupi, unaenda kuanzisha cult ya kishetani kabisa, isiyo na misingi ya Neno la Mungu wala Roho Mtakatifu, na ni shetani anakuongoza kwenda kujenga kitu hiki. hautajua haya ninayoyaongea kwasababu ufahamu wako umetekwa na hautaelewa hadi Mungu akufungue akili yako, kama neema hiyo itakukuta kabla haujafa. rudi kwa Mungu, acha kuwa ajenti wa sheteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…