Nikifungua kanisa, hizi ndizo zitakuwa Amri zangu

soma mathayo 24:13 Lakini mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka. na 24:21-22 Kwa kuwa wakati huo kutakuwapo dhiki kubwa, ambayo haijatokea namna yake tangu mwanzo wa ulimwengu hata sasa, wala haitakuwapo kamwe.
22 Na kama siku hizo zisingalifupizwa, asingeokoka mtu ye yote; lakini kwa ajili ya wateule zitafupizwa siku hizo.

Kwamjibu wa aya hizo hadi sasa hayupo hata mmoja aliyeokoka!

Nakuomba usiijiite umeokoka la sivyo utakuwa hujui maandiko hata tone ila umekalilishwa na wachungaji njaa.

karibu kwenye kanisa langu ufunguliwe na uijue kweli halisi. Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…