Nikiitafakari ile kauli ya Kusaga,bado sipati jibu....

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Kwamba "Sisi vijana tuache majivuno,kama ni pesa Ruge alikuwa nazo kuliko msanii yoyote yule. Kama ni umaarufu Ruge alikuwa maarufu kuliko msanii yoyote yule,Kibonde alikuwa na pesa kuliko msanii yoyote yule,lakini leo hii hawapo tena duniani,chuki,dharau,nyodo na majivuno hayana maana tumalize tofauti zetu dunia tunapita"....

Swali ninalojiuliza kwa nini hii kauli imetolewa wakati huu na sio wakati ule?
 
Kwamba "Sisi vijana tuache majivuno,kama ni pesa ruge alikua nazo kuliko msanii yoyote yule....kama ni umaarufu Ruge alikua maarufu kuliko msanii yoyote yule,Kibonde alikua na pesa kuliko msanii yoyote yule,lakini leo hii hawapo tena duniani,chuki,dharau,nyodo na majivuno hayana maana tumalize tofauti zetu dunia tunapita"....

Swali ninalojiuliza kwa nini hii kauli imetolewa wakati huu na sio wakati ule?
Just to inform the boastful artists that late Ruge & Kibonde had more dough than them but were humble nonetheless.
Inaonekana amesikia mengi hivyo akaamua arushe jiwe gizani.
 
Ametoa funzo kwa mfano hai kabisa alioushuhudia.
Hapo nahisi kamlenga diamond..mwambieni diamond pesa na umaarufu visimfanye akose utu na kuwa kiburi.pesa na utajiri isiwe kikwazo cha kutosamehe waliokukosea
Hakuna anedumu chini ya jua
Ameweza kuzima kelele za msaidie hawa nitarejea kwa million 50.lakini kagoma kuzipoza hata kwa million moja kelele za msaidie babako anaumwa sana
Hata kama kakukosea unashindwa weka tofauti pembeni akiwa kafa?
Hats kama alikukosea unaahindw msaidia basi kama MTU baki then achana nae ufanye yako unashindwa?
Mwambieni huyu kijana msamaha ndio una baraka kutok kwa muumba.kama hasamehi halafu anenda kuswali sijui nafunga ramadhan yote ni bure..
Asamehe wengine na mwenyezi atamsamehe mauchafu yake.LA sivo asahau pepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.umeingia kwenye mind ya kusaga nakuona anamaanisha hivyo usemavyo?
2.Unaishi na familia ya diamond na kuona kweli hamsaidii baba yake kama asemavyo huyo mzee?
3.Umesikia mahojiano ya queen darlin juzi yanayohusu utunzaji wa baba yao?
 
Ametoa funzo kwa mfano hai kabisa alioushuhudia.
Hapo nahisi kamlenga diamond..mwambieni diamond pesa na umaarufu visimfanye akose utu na kuwa kiburi.pesa na utajiri isiwe kikwazo cha kutosamehe waliokukosea
Hakuna anedumu chini ya jua
Ameweza kuzima kelele za msaidie hawa nitarejea kwa million 50.lakini kagoma kuzipoza hata kwa million moja kelele za msaidie babako anaumwa sana
Hata kama kakukosea unashindwa weka tofauti pembeni akiwa kafa?
Hats kama alikukosea unaahindw msaidia basi kama MTU baki then achana nae ufanye yako unashindwa?
Mwambieni huyu kijana msamaha ndio una baraka kutok kwa muumba.kama hasamehi halafu anenda kuswali sijui nafunga ramadhan yote ni bure..
Asamehe wengine na mwenyezi atamsamehe mauchafu yake.LA sivo asahau pepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
hayo ya Mond na babake ni ya familia mimi na wewe tuachane nayo hayatuhusu boss...
 
Kibonde kumbe alikuwa na mshiko wa kutosha,nimeona alikuwa na Nissan Murano na Harrier Lexus New Model Number D zenye thamani ya zaidi ya milioni 60,na pia nieona ana mjengo wa ghorofa moja mbezi beach afrikana lafia jirani na kwa kina MANGE.
 
Ni kwake au kwa baba ake?
 
Back
Top Bottom