Nikiitafakari ile kauli ya Kusaga,bado sipati jibu....

Nikiitafakari ile kauli ya Kusaga,bado sipati jibu....

Aslay ndio nani,mimi niliwajua marehemu Ruge na Kibonde lakini Aslay,ana pesa kwani ?kifupi hapa Tanzania kuna msanii mmoja tu ambaye ana sifa za umaarufu na kuwa na pesa ambaye ni Diamond tu,lakini hao uliowataja wote takataka tu.
Wapi nimeandika Aslay anapesa?au kuwa na Pesa na Umaarufu Ni kitu kimoja? uwe unasoma vizuri na kutafakari kabla ya kujibu.

La pili...wewe kuanza kumjua Ruge na Kibonde kabla ya Aslay ndo point unayotumia kutetea kuwa wao ni maarufu kuliko Aslay? Mbona wengi tumewajua kabla ya Diamond na siyo Maarufu kuliko yeye.
Unamuongelea huyu Aslay anayejulikana mpaka na watoto si mijini wala vijijini.
Stations za Uganda..Kenya...Burundi...Rwanda..Congo n.k wanacheza nyimbo za Aslay na unasema siyo maarufu?Kwahi muktadha upi?
Kibonde wanamjua Kenya au huyo Ruge kwa impact gani?watakuuliza ndo nani?
 
Aslay ndio nani,mimi niliwajua marehemu Ruge na Kibonde lakini Aslay,ana pesa kwani ?kifupi hapa Tanzania kuna msanii mmoja tu ambaye ana sifa za umaarufu na kuwa na pesa ambaye ni Diamond tu,lakini hao uliowataja wote takataka tu.
 
Non senses!
Ukitaja clouds ni kusaga same to wasafi media.
Why aichukie clouds asimchukie kusaga?
Unahisi kwanini platinum ameendelea kuwa mshirika wa kusaga wakati anabifu na clouds (ambayo ndio kusaga mwenyewe)?
Kama hujui vitu nyamaza.
diamond inaonesha alikuwa na bifu na Ruge,na baada ya Ruge kuondoka basi tutegemee Nyimbo zote kupigwa clouds bila ubaguzi.Ruge ndo alikuwa mbaguzi.kusaga hakutaka kuingilia hili,ndo maana kusaga ana redio nyingi nje na clouds ikiwemo wasafi.Baada ya Ruge nategemea improvement kwa clouds.wataacha ushamba wa zaman wa mabifu na wasanii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajikoshe kwanani kaongea ukweli.
Kusaga ana clouds media Rwanda,Zimbabwe, Zambia,Tz & United Arabs.
Pia clouds fm ni namba 3 kwa kusikilizwa zaidi Africa(siyo EAC)
Pia clouds FM ni superbrand radio Africa mashariki kwa mwaka wa 3 mfululizo.

Nataka nikuulize hivyo vyote kusaga anamuhitaji rama dee&jide?


Acha utoto.
Ili usafishe uchafu unalazimika kuwa msafi,kusaga ajisafishe kwanza ndio ahubiri kuhusu usafi.sasa kati yenu nani mtoto.
 
Si walaumu ,kwa kauli ya aliyoizungumza Kusaga manake anataka kutengeneza amani na maadui zake ili kuwa na mwanzo mpya haijalishi wamemkosea au kawakosea na ndio maana kasema tusamehane, si umeitizama video mwisho akawaambia watu wapeane mikono.Sasa ikiwa wewe unashindwa kukiishi unachokinena ,manake umeongea mbele za watu ili kuwafurahisha watu wakati wewe huyaishi maneno yako,sasa kama sio UNAFIKI ni nini.?
huyo anakupotezea muda mkuu.
 
Kwamba "Sisi vijana tuache majivuno,kama ni pesa Ruge alikuwa nazo kuliko msanii yoyote yule. Kama ni umaarufu Ruge alikuwa maarufu kuliko msanii yoyote yule,Kibonde alikuwa na pesa kuliko msanii yoyote yule,lakini leo hii hawapo tena duniani,chuki,dharau,nyodo na majivuno hayana maana tumalize tofauti zetu dunia tunapita"....

Swali ninalojiuliza kwa nini hii kauli imetolewa wakati huu na sio wakati ule?
hapa alikuwa anamaanisha wasanii wa stejini hawa kina Platnumz au wale wenye makarabrasha feki wa kutoka kule madongo kwinama "call me j"??

nauliza tu kwa nia njema...
 
Kama ukiwa makini kwenye hii thread utagundua kuna team inatetewa kwa namna yoyote ile
 
diamond inaonesha alikuwa na bifu na Ruge,na baada ya Ruge kuondoka basi tutegemee Nyimbo zote kupigwa clouds bila ubaguzi.Ruge ndo alikuwa mbaguzi.kusaga hakutaka kuingilia hili,ndo maana kusaga ana redio nyingi nje na clouds ikiwemo wasafi.Baada ya Ruge nategemea improvement kwa clouds.wataacha ushamba wa zaman wa mabifu na wasanii

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes kusaga alikuwa neutral alikuwa anaogopa kumpoteza mmoja wapo zoz wote walikuwa mhimu hasa ruge.
Naona now ruge kapotea mwenyewe so maisha yatakua mazuri.
 
Hili la Ruge kuwa maarufu kuliko wasanii wote na mimi lilinishangaza.
Huwenda ikawa kusaga alivuta bangi ... ruge kabla hajafa ... hata angejaribu kusimama k.koo hakuna mtu ambaye angejitokeza kumshangaa ... lakini endapo mr nice mtu ambaye umaarufu wake umeshadoda " Angejaribu kufanya hivyo cha ajabu ni lazima angejaza watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ametoa funzo kwa mfano hai kabisa alioushuhudia.
Hapo nahisi kamlenga diamond..mwambieni diamond pesa na umaarufu visimfanye akose utu na kuwa kiburi.pesa na utajiri isiwe kikwazo cha kutosamehe waliokukosea
Hakuna anedumu chini ya jua
Ameweza kuzima kelele za msaidie hawa nitarejea kwa million 50.lakini kagoma kuzipoza hata kwa million moja kelele za msaidie babako anaumwa sana
Hata kama kakukosea unashindwa weka tofauti pembeni akiwa kafa?
Hats kama alikukosea unaahindw msaidia basi kama MTU baki then achana nae ufanye yako unashindwa?
Mwambieni huyu kijana msamaha ndio una baraka kutok kwa muumba.kama hasamehi halafu anenda kuswali sijui nafunga ramadhan yote ni bure..
Asamehe wengine na mwenyezi atamsamehe mauchafu yake.LA sivo asahau pepo.



Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuuu kwa Uzi huu kama ww ni wa kike sawa kabsaa....ila kama ni wa kiume itabidi uchunguzwe tu.
 
Huwenda ikawa kusaga alivuta bangi ... ruge kabla hajafa ... hata angejaribu kusimama k.koo hakuna mtu ambaye angejitokeza kumshangaa ... lakini endapo mr nice mtu ambaye umaarufu wake umeshadoda " Angejaribu kufanya hivyo cha ajabu ni lazima angejaza watu

Sent using Jamii Forums mobile app

Upo sahihi kabisa mkuu. Mr Nice ni kiwango kikubwa sana. Sema Dudubaya tu.
 
Pesa mwanakharam sana,najaribu kumtafakari kusaga sipati jibu sahihi
 
Pale ni nyumbani kwa Baba yake Mzazi
Kibonde kumbe alikuwa na mshiko wa kutosha,nimeona alikuwa na Nissan Murano na Harrier Lexus New Model Number D zenye thamani ya zaidi ya milioni 60,na pia nieona ana mjengo wa ghorofa moja mbezi beach afrikana lafia jirani na kwa kina MANGE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom