Nikiitafakari ile kauli ya Kusaga,bado sipati jibu....

Nikiitafakari ile kauli ya Kusaga,bado sipati jibu....

Kwamba "Sisi vijana tuache majivuno,kama ni pesa ruge alikua nazo kuliko msanii yoyote yule....kama ni umaarufu Ruge alikua maarufu kuliko msanii yoyote yule,Kibonde alikua na pesa kuliko msanii yoyote yule,lakini leo hii hawapo tena duniani,chuki,dharau,nyodo na majivuno hayana maana tumalize tofauti zetu dunia tunapita"....

Swali ninalojiuliza kwa nini hii kauli imetolewa wakati huu na sio wakati ule?
Ahaaaah kibonde na hela wapi na wapi

A Philanthropist&£conomist.
 
Ametoa funzo kwa mfano hai kabisa alioushuhudia.
Hapo nahisi kamlenga diamond..mwambieni diamond pesa na umaarufu visimfanye akose utu na kuwa kiburi.pesa na utajiri isiwe kikwazo cha kutosamehe waliokukosea
Hakuna anedumu chini ya jua
Ameweza kuzima kelele za msaidie hawa nitarejea kwa million 50.lakini kagoma kuzipoza hata kwa million moja kelele za msaidie babako anaumwa sana
Hata kama kakukosea unashindwa weka tofauti pembeni akiwa kafa?
Hats kama alikukosea unaahindw msaidia basi kama MTU baki then achana nae ufanye yako unashindwa?
Mwambieni huyu kijana msamaha ndio una baraka kutok kwa muumba.kama hasamehi halafu anenda kuswali sijui nafunga ramadhan yote ni bure..
Asamehe wengine na mwenyezi atamsamehe mauchafu yake.LA sivo asahau pepo.



Sent using Jamii Forums mobile app
Atawasamehe vipi,wakati hawajaomba msamaha alaaaah

A Philanthropist&£conomist.
 
Ile michango ilikuwa ni ya nini kama alikuwa na pesa kushinda wasanii wote?
 
sorry error typing yaani kussaga ndo boss mond kwenye TV,redio,karanga, ndo nilikuwa namaanisha hvyo

God is one
Kwahiyo mimi na wewe tuki-partner kwenye biashara halafu ukawa na share nyingi kuliko mimi ndo tayari unakuwa boss wangu?! Hivi hao waliokuwa wanasema Diamond Karanga jamaa anatumwa tu si ndo hao hao waliokuwa wanasema Wasafi TV Kusaga ni 98% na Diamond anamiliki 2% kabla wote hao hawajaumbuliwa na tangazo la TCRA?! Yaani mtu awe na 45% shareholding kwenye TV Station (sio channel) halafu ashindwe kuwa na shareholding kwenye karanga?
 
Kibonde kumbe alikuwa na mshiko wa kutosha,nimeona alikuwa na Nissan Murano na Harrier Lexus New Model Number D zenye thamani ya zaidi ya milioni 60,na pia nieona ana mjengo wa ghorofa moja mbezi beach afrikana lafia jirani na kwa kina MANGE.

Wanaume wa Dar wanatia aibu kwani wakisikia rafiki tu kafariki nao wanafariki hapohapo
 
1.umeingia kwenye mind ya kusaga nakuona anamaanisha hivyo usemavyo?
2.Unaishi na familia ya diamond na kuona kweli hamsaidii baba yake kama asemavyo huyo mzee?
3.Umesikia mahojiano ya queen darlin juzi yanayohusu utunzaji wa baba yao?
yan nilivyo yasikia yale mahojiano ndo nmeelewa daimond hana kosa kumbe mzee ni msanii tu
 
Kwamba "Sisi vijana tuache majivuno,kama ni pesa Ruge alikuwa nazo kuliko msanii yoyote yule. Kama ni umaarufu Ruge alikuwa maarufu kuliko msanii yoyote yule,Kibonde alikuwa na pesa kuliko msanii yoyote yule,lakini leo hii hawapo tena duniani,chuki,dharau,nyodo na majivuno hayana maana tumalize tofauti zetu dunia tunapita"....

Swali ninalojiuliza kwa nini hii kauli imetolewa wakati huu na sio wakati ule?
Ametambua kuwa pesa si kila kitu katika maisha ya binadamu yeyote duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba "Sisi vijana tuache majivuno,kama ni pesa Ruge alikuwa nazo kuliko msanii yoyote yule. Kama ni umaarufu Ruge alikuwa maarufu kuliko msanii yoyote yule,Kibonde alikuwa na pesa kuliko msanii yoyote yule,lakini leo hii hawapo tena duniani,chuki,dharau,nyodo na majivuno hayana maana tumalize tofauti zetu dunia tunapita"....

Swali ninalojiuliza kwa nini hii kauli imetolewa wakati huu na sio wakati ule?
Kamulizie mwenyewe bado yupo mjini atakuambia alikuwa ana maana gani na huo ushauri wake,sisi tutakujibu vile tunavyoona na sio yeye alivyoona.Utajiuliza wee mwishowe kichwa kitaanza kukuama kwa kuwa huna jibu.
 
Nashangaa yaani Ruge awe Maarufu Kuliko Ngwair...Diamond...Juma Nature au Ally Kiba.
Huyo Ruge si maarufu kuliko Wema Sepetu.
Wamefiwa na watu wao muhimu basi wasiwajaze kila sifa nzuri...ni aibu mtu mzima kuongopa hadharani...daah yaani Ruge ni Maarufu kuliko Aslay kweli?
Aslay ndio nani,mimi niliwajua marehemu Ruge na Kibonde lakini Aslay,ana pesa kwani ?kifupi hapa Tanzania kuna msanii mmoja tu ambaye ana sifa za umaarufu na kuwa na pesa ambaye ni Diamond tu,lakini hao uliowataja wote takataka tu.
 
Msiishie kulalamika tu tuambieni kwa uwazi na sisi tujue wanamziki walio nyanyaswa ni wanamziki gani na wamenyanyaswa vipi? Sawa na mtupe na mifano,na mtueleze Jaidee, dudubaya, diamondi na wengine wote walinyanyaswahe either na cloud au ruge utuambie sisi wengine hatujui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom