Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Just to inform the boastful artists that late Ruge & Kibonde had more dough than them but were humble nonetheless.Kwamba "Sisi vijana tuache majivuno,kama ni pesa ruge alikua nazo kuliko msanii yoyote yule....kama ni umaarufu Ruge alikua maarufu kuliko msanii yoyote yule,Kibonde alikua na pesa kuliko msanii yoyote yule,lakini leo hii hawapo tena duniani,chuki,dharau,nyodo na majivuno hayana maana tumalize tofauti zetu dunia tunapita"....
Swali ninalojiuliza kwa nini hii kauli imetolewa wakati huu na sio wakati ule?
1.umeingia kwenye mind ya kusaga nakuona anamaanisha hivyo usemavyo?Ametoa funzo kwa mfano hai kabisa alioushuhudia.
Hapo nahisi kamlenga diamond..mwambieni diamond pesa na umaarufu visimfanye akose utu na kuwa kiburi.pesa na utajiri isiwe kikwazo cha kutosamehe waliokukosea
Hakuna anedumu chini ya jua
Ameweza kuzima kelele za msaidie hawa nitarejea kwa million 50.lakini kagoma kuzipoza hata kwa million moja kelele za msaidie babako anaumwa sana
Hata kama kakukosea unashindwa weka tofauti pembeni akiwa kafa?
Hats kama alikukosea unaahindw msaidia basi kama MTU baki then achana nae ufanye yako unashindwa?
Mwambieni huyu kijana msamaha ndio una baraka kutok kwa muumba.kama hasamehi halafu anenda kuswali sijui nafunga ramadhan yote ni bure..
Asamehe wengine na mwenyezi atamsamehe mauchafu yake.LA sivo asahau pepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi tena darasani, Upepo hautoi hivihivi, mgandamizo mkubwa wa hewa ndo unasababisha .Maneno huwa hayamtoki tu mtu kama upepo wa pwani.Walengwa watakuwa wanasonya na kuuma meno kama mbwa wenye degedege.
Sasa weye na misemo,nahau na madoido ya kiswahili wapi na wapi?Unataka kuanza ligi kwa msemo mwepesi wa kiswahili? Kazana na sayansi-kimu yako.Rudi tena darasani, Upepo hautoi hivihivi, mgandamizo mkubwa wa hewa ndo unasababisha .
Mambo yamekua mengi na Mengi yamekua Mambo
Ruge lini alikuwa maarufu kuliko msanii yoyote yule? Kuhusu pesa wanajua wenyewe.
Aache unafki,walipokuwa wanawanyanyasa wasanii na kuwadhurumu haki zao hawakujua yote hayo. Wanafki na wachawi wakubwa.
hata kuhusu pesa kama.alikua nazo nyingi why waliomba michango?Hili la Ruge kuwa maarufu kuliko wasanii wote na mimi lilinishangaza.
hayo ya Mond na babake ni ya familia mimi na wewe tuachane nayo hayatuhusu boss...Ametoa funzo kwa mfano hai kabisa alioushuhudia.
Hapo nahisi kamlenga diamond..mwambieni diamond pesa na umaarufu visimfanye akose utu na kuwa kiburi.pesa na utajiri isiwe kikwazo cha kutosamehe waliokukosea
Hakuna anedumu chini ya jua
Ameweza kuzima kelele za msaidie hawa nitarejea kwa million 50.lakini kagoma kuzipoza hata kwa million moja kelele za msaidie babako anaumwa sana
Hata kama kakukosea unashindwa weka tofauti pembeni akiwa kafa?
Hats kama alikukosea unaahindw msaidia basi kama MTU baki then achana nae ufanye yako unashindwa?
Mwambieni huyu kijana msamaha ndio una baraka kutok kwa muumba.kama hasamehi halafu anenda kuswali sijui nafunga ramadhan yote ni bure..
Asamehe wengine na mwenyezi atamsamehe mauchafu yake.LA sivo asahau pepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msanii ni kioo cha jamii, huwezi kumfanyia mzazi wako yasiyostahili halafu utegemee hayatakuwa na impact kwa jamii au mashabiki wako, never....hayo ya Mond na babake ni ya familia mimi na wewe tuachane nayo hayatuhusu boss...
una ushahidi tangible kwamba mond hamsaidii baba ake au ndo hearsay za wapuuzi huko mitandaoni?Msanii ni kioo cha jamii, huwezi kumfanyia mzazi wako yasiyostahili halafu utegemee hayatakuwa na impact kwa jamii au mashabiki wako, never....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwake au kwa baba ake?Kibonde kumbe alikuwa na mshiko wa kutosha,nimeona alikuwa na Nissan Murano na Harrier Lexus New Model Number D zenye thamani ya zaidi ya milioni 60,na pia nieona ana mjengo wa ghorofa moja mbezi beach afrikana lafia jirani na kwa kina MANGE.
una ushahidi tangible kwamba mond hamsaidii baba ake au ndo hearsay za wapuuzi huko mitandaoni?