Kelevra
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 1,053
- 2,010
Wapi nimeandika Aslay anapesa?au kuwa na Pesa na Umaarufu Ni kitu kimoja? uwe unasoma vizuri na kutafakari kabla ya kujibu.Aslay ndio nani,mimi niliwajua marehemu Ruge na Kibonde lakini Aslay,ana pesa kwani ?kifupi hapa Tanzania kuna msanii mmoja tu ambaye ana sifa za umaarufu na kuwa na pesa ambaye ni Diamond tu,lakini hao uliowataja wote takataka tu.
La pili...wewe kuanza kumjua Ruge na Kibonde kabla ya Aslay ndo point unayotumia kutetea kuwa wao ni maarufu kuliko Aslay? Mbona wengi tumewajua kabla ya Diamond na siyo Maarufu kuliko yeye.
Unamuongelea huyu Aslay anayejulikana mpaka na watoto si mijini wala vijijini.
Stations za Uganda..Kenya...Burundi...Rwanda..Congo n.k wanacheza nyimbo za Aslay na unasema siyo maarufu?Kwahi muktadha upi?
Kibonde wanamjua Kenya au huyo Ruge kwa impact gani?watakuuliza ndo nani?