Joseph kimlio
JF-Expert Member
- May 18, 2026
- 745
- 1,329
Kiburi cha dini za wazungu.Habari za muda huu wakuu.
Kuna jambo limekuwa likinitokea hivi karibuni na ningependa kupata maoni yenu.
Nimegundua kuwa kwa sasa sipendi kabisa mtu kuniita jina langu halisi. Nimezoea sana kuitwa kwa majina ya utani (nicknames) kiasi kwamba mtu akiniita jina langu halisi, najikuta nikichukia au kujisikia vibaya bila sababu ninayoielewa vizuri.
Cha kushangaza ni kwamba zamani sikuwa na hali hii, lakini kwa sasa imekuwa tofauti.
Je, kuna watu ambao wamewahi kupitia hali kama hii? Inaweza kuwa ni mazoea tu, mabadiliko ya hisia, au kuna sababu nyingine inayoweza kuelezea hali hii?
Naomba tushirikishane uzoefu na mawazo yetu kwa heshima.
Je, wewe unapendelea kuitwa jina lako halisi au jina la utani? Na kwa nini?
Umewahi kutembelea milembe waka kushauri mkuuSikweli Serikal isingeniamini kunipa uwakilishi
Unapoitwa jina la kizungu unafurahi! Unajua asili ya hilo jina! Huenda ni jamii ya kishirikina.Sikweli
Hilo huwa linawasumbua watu wengi mno mitaani, mtu hataki kuitwa Yahana, anataka aitwe John ingawa vyeti vyake vinasoma YOHANA.Haha wewe Genius 😂
Duh... sawa mkuu! kwa upande wangu, imeshanikuta ila hapo nilikuwa mdogo kutokana na kutaniana.... ila this time naona kawaida tu may be ilikuwa ni utotoPale hapana labda itokee changamot ya serious
Bashite😆Sasa mtu unaitwa masumbuko utaachaje kuchukia
Unaweza kubadilisha tu jina lako kama Deogratius Kisandu alivyobadiki kuwa Civilian Coin, au Cassius Clay alivyobadili kuwa Muhammad Ali.Habari za muda huu wakuu.
Kuna jambo limekuwa likinitokea hivi karibuni na ningependa kupata maoni yenu.
Nimegundua kuwa kwa sasa sipendi kabisa mtu kuniita jina langu halisi. Nimezoea sana kuitwa kwa majina ya utani (nicknames) kiasi kwamba mtu akiniita jina langu halisi, najikuta nikichukia au kujisikia vibaya bila sababu ninayoielewa vizuri.
Cha kushangaza ni kwamba zamani sikuwa na hali hii, lakini kwa sasa imekuwa tofauti.
Je, kuna watu ambao wamewahi kupitia hali kama hii? Inaweza kuwa ni mazoea tu, mabadiliko ya hisia, au kuna sababu nyingine inayoweza kuelezea hali hii?
Naomba tushirikishane uzoefu na mawazo yetu kwa heshima.
Je, wewe unapendelea kuitwa jina lako halisi au jina la utani? Na kwa nini?
Ndio maana nimesema vijanaa mmechanganyikiwa sanaSikweli mkuu jina la mtu aliitwi hovyo
Ushauri mzuri nawaza kua haiwezi poteza maslah yangu yakikazi kwa huu mfumo mgumuUnaweza kubadilisha tu jina lako kama Deogratius Kisandu alivyobadiki kuwa Civilian Coin, au Cassius Clay alivyobadili kuwa Muhammad Ali.
Kisheria kabisa.
Kibaya ni kwamba hapo katikati hilo jina linapotea kabisa, sasa likirudi ndo unaliona la ajabu.Shida mtu popote anaita hovyo jina halisi