Nikiitwa jina langu halisi nachukia😁

Jina ni la mwili (physical body) ila kiuhalisia huna jina.
Jina ni la mfumo wakidunia kulingana na watu waliotutangulia au kulingana na majira ulipozaliwa kwaio hata ungeitwa jiwe bado ndani yako kuna wewe
Itabid nizoee tu kwasas lakin kitu sikikubali nikuitwa hovyo nawatu wakila umri
 
Sawa Barton Mwemba tumekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…