T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Hizo ndo kazi ambazo atakuwa anatumia nguvu[emoji3]Kugegeda na kukata gogo baas.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Habari za asubuhi mkuu Rebeca 83
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ndo kazi ambazo atakuwa anatumia nguvu[emoji3]Kugegeda na kukata gogo baas.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kutoa kafara ndugu, mtoto, mzazi,,kujitoa kafara mwenyewe utajiri wa punje,au kujitoa kafara kizazi chako yaani unakua tajiri mkubwa lakini uzai Ili usiwe na mrithi, yaani umeuza kizazi chako kwa shetani.😂😂 Hiyo kitu (kuroga) ni uhakika kabsa💯💯💯
huyu hawezi kuwa hata bukuneaKwa akili hizo sijui kama utakuwa milionea
Yani mmatumbi bana hapo tu sijawa milionea but you are bitter and jealoushuyu hawezi kuwa hata bukunea
Ahh benyu[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani utaroga,kudanganya,kughushi,fitna halafu unatuambia hutaki kuua...
Labda apate bwana Milionea.Kwa akili hizo sijui kama utakuwa milionea
Nipe hii connection mkuu,wewe ushawahi kujaribu?Nenda kwa shetani utapata umilionea wa haraka kwa kafara ya damu yako, ya mwanao au mzazi wako. Au kuingia mkataba unapewa mda wa kuishi mnagawana miaka SAwa yaani nusu kwa nusu na shetani. Mfano miaka yako aliyokupa Mwenyezi Mungu kuishi duniani ni 60,70,76,80 nk nusu yake ni 30,35,33,40 umeenda kwa mganga una miaka 27.Unatoa jumla ya miaka uliyo nayo sasa mfano 27 itakuwa 3,8,6,13 ndo miaka utakuwa tajiri mkubwa Sana kisha utakufa hio nusu iliyobaki Ina kua ni miaka ya shetani unaenda kutumika kuzimu hadi utakapogota miaka yako aliyokupa Mwenyezi Mungu then unakufa kuzimu mwili wako unaliwa nyama, roho yako Inaenda kuzimu kubwa kuteseka milele.
Ningejaribu kama tungekuwa tunaishi milele.Mcheki wakala yeyeto wa shetani duniani atakulink ndugu.Nipe hii connection mkuu,wewe ushawahi kujaribu?
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Una maanisha utajenga swimming pool halafu mabinti wakali wataonsha mbupu?[emoji2]Kabla nife lazima niwe millionaire iyo nimejihakikishia iwe kwa dhulma, wizi, kuroga, fitna, kudanganya,kughushi, kuroga na kufisidi. Ispokuwa tu kuua na kudhulumu nafsi.
Nikizikamata kwaanzia dollars million moja kuendelea natafuta jopo la madem wakali wakiafrika kazi yao ni kunilisha, kuniogesha, kunipeleka maliwatoni na kunifanyia huduma zote huko.
Pia nitawaajiri njemba kunibebea simu, kunifungulia mlango wa gari n.k.
Sitashika chochote yote ntafanyiwa na wafanyakazi wangu niliwaajiri mpango nikuajiri wafanyakazi 30 na wote Nitawalipa mshahara wa million 5 kwa mwezi kila mmoja na kuwakatia bima wao na familia zao.
Kazi yangu tu nitakayotumia nguvu ni kugegeda na kukata gogo baas.
Halafu nanua super yatch yenye kubeba watu zaidi ya 60 natanua kwe high seas huko na ndugu na marafiki ila nitajitahidi kuepuka pwani ya Somalia nitacheza na pwani yetu kuelekea huko chini sauz, Mauritius nakukatiza juu pembeni pwani za sysheles.
safi sana bro tunakuombea.Kabla nife lazima niwe millionaire iyo nimejihakikishia iwe kwa dhulma, wizi, kuroga, fitna, kudanganya,kughushi, kuroga na kufisidi. Ispokuwa tu kuua na kudhulumu nafsi.
Nikizikamata kwaanzia dollars million moja kuendelea natafuta jopo la madem wakali wakiafrika kazi yao ni kunilisha, kuniogesha, kunipeleka maliwatoni na kunifanyia huduma zote huko.
Pia nitawaajiri njemba kunibebea simu, kunifungulia mlango wa gari n.k.
Sitashika chochote yote ntafanyiwa na wafanyakazi wangu niliwaajiri mpango nikuajiri wafanyakazi 30 na wote Nitawalipa mshahara wa million 5 kwa mwezi kila mmoja na kuwakatia bima wao na familia zao.
Kazi yangu tu nitakayotumia nguvu ni kugegeda na kukata gogo baas.
Halafu nanua super yatch yenye kubeba watu zaidi ya 60 natanua kwe high seas huko na ndugu na marafiki ila nitajitahidi kuepuka pwani ya Somalia nitacheza na pwani yetu kuelekea huko chini sauz, Mauritius nakukatiza juu pembeni pwani za sysheles.
Pesa inahtaji heshimaKabla nife lazima niwe millionaire iyo nimejihakikishia iwe kwa dhulma, wizi, kuroga, fitna, kudanganya,kughushi, kuroga na kufisidi. Ispokuwa tu kuua na kudhulumu nafsi.