Nikija kuwa millionaire, nitafanya mambo ya ajabu sana

ni kweli kila binadamu huwa ana vi ndoto fulani fulani vya kuwa classic na kuishi maisha ya luxury vindoto hivo vinasaidia kupunguza stress endelea Kuwaza nakutunga mambo mbalimbali.uko pia na Haki yakufikiria ungekuwa rais
 
Kabla nife lazima niwe millionaire iyo nimejihakikishia iwe kwa dhulma, wizi, kuroga, fitna, kudanganya,kughushi, kuroga na kufisidi. Ispokuwa tu kuua na kudhulumu nafsi.

Nikizikamata kwaanzia dollars million moja kuendelea natafuta jopo la madem wakali wakiafrika kazi yao ni kunilisha, kuniogesha, kunipeleka maliwatoni na kunifanyia huduma zote huko.

Pia nitawaajiri njemba kunibebea simu, kunifungulia mlango wa gari n.k.

Sitashika chochote yote ntafanyiwa na wafanyakazi wangu niliwaajiri mpango nikuajiri wafanyakazi 30 na wote Nitawalipa mshahara wa million 5 kwa mwezi kila mmoja na kuwakatia bima wao na familia zao.

Kazi yangu tu nitakayotumia nguvu ni kugegeda na kukata gogo baas.

Halafu nanua super yatch yenye kubeba watu zaidi ya 60 natanua kwe high seas huko na ndugu na marafiki ila nitajitahidi kuepuka pwani ya Somalia nitacheza na pwani yetu kuelekea huko chini sauz, Mauritius nakukatiza juu pembeni pwani za sysheles.
Mawazo ya kimasikini.
 
Shauri zako mzee kwa kuendekeza starehe kwa hizo akili Zako mfereji wako hauwezi baki salama au fafanua zaidi.... Haiwezekani ukalala naa manzi watano kwa wakati mmoja hiyo ni mikono kumi na vidole hamsini ... Alafu wewe una matundu saba kazi unayo ndugu
 
matajiri hatufanyi hivo...nawapa hela wafanyakaz wangu wa kiume..wanatafuta pisi kali wqnazotaka..then wanapigana mikasi mbele yangu..mi nawaangalia tu..sina haja ya kutumia VPN
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kabla nife lazima niwe millionaire iyo nimejihakikishia iwe kwa dhulma, wizi, kuroga, fitna, kudanganya,kughushi, kuroga na kufisidi. Ispokuwa tu kuua na kudhulumu nafsi.

Nikizikamata kwaanzia dollars million moja kuendelea natafuta jopo la madem wakali wakiafrika kazi yao ni kunilisha, kuniogesha, kunipeleka maliwatoni na kunifanyia huduma zote huko.

Pia nitawaajiri njemba kunibebea simu, kunifungulia mlango wa gari n.k.

Sitashika chochote yote ntafanyiwa na wafanyakazi wangu niliwaajiri mpango nikuajiri wafanyakazi 30 na wote Nitawalipa mshahara wa million 5 kwa mwezi kila mmoja na kuwakatia bima wao na familia zao.

Kazi yangu tu nitakayotumia nguvu ni kugegeda na kukata gogo baas.

Halafu nanua super yatch yenye kubeba watu zaidi ya 60 natanua kwe high seas huko na ndugu na marafiki ila nitajitahidi kuepuka pwani ya Somalia nitacheza na pwani yetu kuelekea huko chini sauz, Mauritius nakukatiza juu pembeni pwani za sysheles.
Dogo asee this is too Much
 
Kuna watu ni mapimbi, sasa Dola milioni 1 si kama bilioni 2 na sehemu, huo mshahara wa 5M kwa wanafanyakazi 30 kwa mwaka ni 1.8B... sasa hizo hela za bima na yatch utanunua na Nini?

Acha bangi
 
Yupo km mau mambo yake
Leo kaniandikia msuto kuhusu Ile habari ya bby wake nilisema atuambie ni nani, hata sijamuelewa yaani kitu alichoandika...na akinibamba hapa atanisuta Tena🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣 Itabidi utumie Google translate
 
Back
Top Bottom