Nikija kuwa millionaire, nitafanya mambo ya ajabu sana

Nenda kwa shetani utapata umilionea wa haraka kwa kafara ya damu yako, ya mwanao au mzazi wako. Au kuingia mkataba unapewa mda wa kuishi mnagawana miaka SAwa yaani nusu kwa nusu na shetani. Mfano miaka yako aliyokupa Mwenyezi Mungu kuishi duniani ni 60,70,76,80 nk nusu yake ni 30,35,33,40 umeenda kwa mganga una miaka 27.Unatoa jumla ya miaka uliyo nayo sasa mfano 27 itakuwa 3,8,6,13 ndo miaka utakuwa tajiri mkubwa Sana kisha utakufa hio nusu iliyobaki Ina kua ni miaka ya shetani unaenda kutumika kuzimu hadi utakapogota miaka yako aliyokupa Mwenyezi Mungu then unakufa kuzimu mwili wako unaliwa nyama, roho yako Inaenda kuzimu kubwa kuteseka milele.
 
😂😂 Hiyo kitu (kuroga) ni uhakika kabsa💯💯💯
Kutoa kafara ndugu, mtoto, mzazi,,kujitoa kafara mwenyewe utajiri wa punje,au kujitoa kafara kizazi chako yaani unakua tajiri mkubwa lakini uzai Ili usiwe na mrithi, yaani umeuza kizazi chako kwa shetani.
Unakua tajiri usiye na furaha
 
Hujazungumzia kuliwa kiboga mkuu,, au na marinda utayaweka rehani..? Na kama utauza Figo nicheki chap nikupe connection upate hela za anasa...

Madogo wamevamia Jeiefu na nyuzi za Fesibuku
 
Nipe hii connection mkuu,wewe ushawahi kujaribu?

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Nipe hii connection mkuu,wewe ushawahi kujaribu?

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Ningejaribu kama tungekuwa tunaishi milele.Mcheki wakala yeyeto wa shetani duniani atakulink ndugu.
Wabongo wamejiongeza ukipata utajiri wa punje yaani miaka ya kuishi mda wa kufika uliopewa ukikaribia unaenda Nigeria kuuflash yaani kureboot systems.
 
Una maanisha utajenga swimming pool halafu mabinti wakali wataonsha mbupu?[emoji2]
 
safi sana bro tunakuombea.

adriz mshamba_hachekwi Leejay49 Chaliifrancisco
 
Pesa inahtaji heshima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…