ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
We jamaaa😂😂😂
Mawazo ya kimasikini.Kabla nife lazima niwe millionaire iyo nimejihakikishia iwe kwa dhulma, wizi, kuroga, fitna, kudanganya,kughushi, kuroga na kufisidi. Ispokuwa tu kuua na kudhulumu nafsi.
Nikizikamata kwaanzia dollars million moja kuendelea natafuta jopo la madem wakali wakiafrika kazi yao ni kunilisha, kuniogesha, kunipeleka maliwatoni na kunifanyia huduma zote huko.
Pia nitawaajiri njemba kunibebea simu, kunifungulia mlango wa gari n.k.
Sitashika chochote yote ntafanyiwa na wafanyakazi wangu niliwaajiri mpango nikuajiri wafanyakazi 30 na wote Nitawalipa mshahara wa million 5 kwa mwezi kila mmoja na kuwakatia bima wao na familia zao.
Kazi yangu tu nitakayotumia nguvu ni kugegeda na kukata gogo baas.
Halafu nanua super yatch yenye kubeba watu zaidi ya 60 natanua kwe high seas huko na ndugu na marafiki ila nitajitahidi kuepuka pwani ya Somalia nitacheza na pwani yetu kuelekea huko chini sauz, Mauritius nakukatiza juu pembeni pwani za sysheles.
[emoji16][emoji16][emoji16]matajiri hatufanyi hivo...nawapa hela wafanyakaz wangu wa kiume..wanatafuta pisi kali wqnazotaka..then wanapigana mikasi mbele yangu..mi nawaangalia tu..sina haja ya kutumia VPN
Dogo asee this is too MuchKabla nife lazima niwe millionaire iyo nimejihakikishia iwe kwa dhulma, wizi, kuroga, fitna, kudanganya,kughushi, kuroga na kufisidi. Ispokuwa tu kuua na kudhulumu nafsi.
Nikizikamata kwaanzia dollars million moja kuendelea natafuta jopo la madem wakali wakiafrika kazi yao ni kunilisha, kuniogesha, kunipeleka maliwatoni na kunifanyia huduma zote huko.
Pia nitawaajiri njemba kunibebea simu, kunifungulia mlango wa gari n.k.
Sitashika chochote yote ntafanyiwa na wafanyakazi wangu niliwaajiri mpango nikuajiri wafanyakazi 30 na wote Nitawalipa mshahara wa million 5 kwa mwezi kila mmoja na kuwakatia bima wao na familia zao.
Kazi yangu tu nitakayotumia nguvu ni kugegeda na kukata gogo baas.
Halafu nanua super yatch yenye kubeba watu zaidi ya 60 natanua kwe high seas huko na ndugu na marafiki ila nitajitahidi kuepuka pwani ya Somalia nitacheza na pwani yetu kuelekea huko chini sauz, Mauritius nakukatiza juu pembeni pwani za sysheles.
We Maghayo naomba utengue kauli yako!hujui kama huyo ni mke halali wa boss wangu Countrywide ?Mbona gafla?! Eti dada unalijua hili Joannah 🤣
Yani Maghayo msumbufu sana, ila sio kosa lake. Alisema anavuta sana bangiWe Maghayo naomba utengue kauli yako!hujui kama huyo ni mke halali wa boss wangu Countrywide ?
Kumbe!basi asameheweYani Maghayo msumbufu sana, ila sio kosa lake. Alisema anavuta sana bangi
Aaah nikki wa piliWe Maghayo naomba utengue kauli yako!hujui kama huyo ni mke halali wa boss wangu Countrywide ?
Yupo km mau mambo yakeKumbe!basi asamehewe
Bangi hizoAaah nikki wa pili
Leo kaniandikia msuto kuhusu Ile habari ya bby wake nilisema atuambie ni nani, hata sijamuelewa yaani kitu alichoandika...na akinibamba hapa atanisuta Tena🤣🤣Yupo km mau mambo yake
🤣🤣🤣🤣 Itabidi utumie Google translateLeo kaniandikia msuto kuhusu Ile habari ya bby wake nilisema atuambie ni nani, hata sijamuelewa yaani kitu alichoandika...na akinibamba hapa atanisuta Tena🤣🤣