Nikikojoa mkojo unauma mwishoni na uume unatoa vitu vya njano. Nitumie dawa gani?

Nikikojoa mkojo unauma mwishoni na uume unatoa vitu vya njano. Nitumie dawa gani?

Kuna uwezekano mkubwa ni ugonjwa wa zinaa (Gono, Kaswende, Kisonono, n.k)

wahi hospitalini mapema !!

Hizi starehe za dakika chache zisikubabaishe ujilipue kisa shepu, upole, umri, kupania, n.k. TUMIA CONDOM !! utasifiwa ni mjanja lakini kwenye magonjwa utapambana kivyako
 
😁😁😹
Eti kuna vitu nilifanya Ijumaa.
Kuwa makini “Kitakatika”
Sijui kwann vijana wana vichwa vigumu?

Hiz mada ziko kila siku jukwaan na wanachamgia ila haziwasaidii.

Mimi kwa mara ya kwanza kupata gono bila nikajua tu hil ni lenyewe kutokana na kusoma soma sana hiv visa hapa jukwaan, nkkawah fasta hospital, wala hata sikutaka kujinunulia dawa
 
Vijana wanakamia.
Pole mkuu, kumbe ushawahi kupata ajali kazini.
 
Back
Top Bottom