Nikikojoa mkojo unauma mwishoni na uume unatoa vitu vya njano. Nitumie dawa gani?

Nikikojoa mkojo unauma mwishoni na uume unatoa vitu vya njano. Nitumie dawa gani?

Kapime ww
Watu mnapenda dawa bila kujua una shida Gani
Haha wanaona noma kwenda kwa doktari wamwambie dokta nina gono,,, hivi vigonjwa vinamshushia mtu hadhi kabisa na heshima sema ndo hivo,,,halafu bora uende hospitali ukutane na mwana,,unaenda unakuta daktari ni demu maelezo yanakua magumu zaidi,,,ndo maana vijana wanakimbilia pharmacy zaidi kuliko hospitali,,,,,sema ukikaa muda mrefu na hujapata tiba inayotakiwa kuna hatihati ya kutoweza kutungisha mimba mwanamke
 
Wakuu naombeni msaada nikikojoa au mkojo wa mwisho unauma...halafu nikiminya uume kuna vitu vinatoka vina kama rangi ya njano...kuna kitu nilifanya ijumaa
Jambo dogo sana hili

Tx
. Metronidazole tbs 2g start ( 10 tabs)
. Doxy 100mg BID *5/7
. Injection ceftrioxone 2g start
. Pcm tbs 1g tds * 5 /7
 
Wakuu naombeni msaada nikikojoa au mkojo wa mwisho unauma halafu nikiminya uume kuna vitu vinatoka vina kama rangi ya njano.

Kuna kitu nilifanya ijumaa

Katika Natural Health knowledge; tatizo kama frequent urine , burning urine , painful urine , blood urine etc , this mean hot toxin is too much into Kidney & bladders system Pia probably blockage kufanya mzunguko wa damu kewa vibaya !

So treatment plan :
1.Clear hot toxin into Kidney & Bladder system or hot dampness toxin into kidney & Bladder system

2. Imarisha Prostate / tezi

3. Imarisha mzunguko wa Damu kuondoa blockage

So katika natural treatment plan yangu , nakupatia dawa zangu asili zinazoenda kufanya Kazi hiyo na kutibu hiyo hali kabisa

Products zipo kwenye Capsule form ni Traditional Chinese medicine ila zimetengenezwa nchini Marekani!

Mawasiliano : 0653048888 , 0757577995
 
Back
Top Bottom