Nikikojoa mkojo unauma mwishoni na uume unatoa vitu vya njano. Nitumie dawa gani?

Nikikojoa mkojo unauma mwishoni na uume unatoa vitu vya njano. Nitumie dawa gani?

Wakuu naombeni msaada nikikojoa au mkojo wa mwisho unauma...halafu nikiminya uume kuna vitu vinatoka vina kama rangi ya njano...kuna kitu nilifanya ijumaa
Ijumaa ulifungulia sauti kama yote kwenye sabufa halafu mondi anakusisitizia kabisa tema mate iteleze kama nyoka pangoni,,,,,,,,,,haya nyoka keshateleza sema kadondokea kwa nyegere
 
Hongera, umefanikiwa kujiunga....bonyeza link mwanachama mpya
 
Hongera, umefanikiwa kujiunga....bonyeza link mwanachama mpya
Aloooh,, nilkua nautafuta huu uzi niendelee kusoma shuhuda za watu sikuupata,, asante sana 😂😂
 
Back
Top Bottom