Nikikojoa mkojo unauma mwishoni na uume unatoa vitu vya njano. Nitumie dawa gani?

Nikikojoa mkojo unauma mwishoni na uume unatoa vitu vya njano. Nitumie dawa gani?

Vikoba ni changamoto Sana,K hazipumziki...zinabamizwa daily .....eti kunakitu nilifanya[emoji849] Kaswende hiyo mjomba....Pigeni nyeto tu....magonjwa sikuhizi ni outout[emoji3525]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimechekaa had baas, woiiiih
 
FB_IMG_17194248455764750.jpg


Eti kuna kitu ulifanya ijumaa tofauti na kudondokeamo
 
Kama bado shida itaendela baada ya dawa zote utakazo tumia fanya upate daktari au nurse akuchome CEFTRIAXONE(akikuwekea cannula itapendeza) tafta kokote ipatikane minimum 2 weeks kila cku
 
Wakuu...baada ya kupokea ushauri mbalimbali nimeenda hospital nikachomwa sindano vichupa viwili vya dawa siku ileile vina boksi la blue...namshukuru naendelea na dozi...kuna moja zinakichefuchefu hatari...
Wakuu yule mwanamke sijamwambia chchte siwezi kukubali kuumwa pekeangu mimi...najua hata nikimwambia yeye ndio kaniambukiza ataniletea ubishi tu.
Dawa zingine hizo wakuu niko hapa nakomaa na dozi..dokta alichukua mkojo wangu akasema anaupeleka maabara nikachukue majibu baada ya siku tano tena😭
 

Attachments

  • 20240704_212140.jpg
    20240704_212140.jpg
    1.5 MB · Views: 8
Vikoba ni changamoto Sana,K hazipumziki...zinabamizwa daily .....eti kunakitu nilifanya🙄 Kaswende hiyo mjomba....Pigeni nyeto tu....magonjwa sikuhizi ni outout☹️
Hizi zama zetu wagonjwa ni wengi kuliko wazima na cha ajabu wagonjwa wengi ni under 25 😐

vijana watumie kinga, ni bora kuliko kukojoa wembe.
 
Back
Top Bottom