Nikikojoa mkojo unauma mwishoni na uume unatoa vitu vya njano. Nitumie dawa gani?

Ahahahhahah kumbe haukufikia ile stage yenyewe..

Mwenzako mmoja alichomwa sindano ndani ina dawa nzito kama uji hivi..

Unaambiwa jamaa kila akikumbuka yale maumivu huwa analia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…