Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Leo nakumbuka miaka ya nyuma hadi nacheka. Boarding school hiyo flani watu tulishajiandaa jioni wali maharage. Siku za wali maamae tulikuwa na furaha kichizi. Hukuti kwenye pipa chakula kimemwagwa.
Mara watu tunaingia dining ugali na maharage. Ngumi zilitembea Kwa wapishi na walimu wa zamu. Mkono wa Laana.
Yani nacheka tu hapa nilipo. Yani nigger kwenye msosi ni hatarii. Sijui wali umemfanya nini Nigger. 🤣 😆😆