Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Yani furaha ya ajabu unajiandaa halafu paap nguna, lazima mkono utembee.Inakuwa maji maji war maana Kuna watu walikuwa wanaoga kisa wali maharage halafu ubadilishe ratiba kiurahisi tu
Nakumbuka Kuna kosa tulifanya ila walimu hawakutupa adhabu kwakuwa walijua tutabisha wakasubiri mpaka siku ya waliYani furaha ya ajabu unajiandaa halafu paap nguna.
Kwani Kuna mtu ulifanana naye shule πππNilikuwa namiss sana msosi siku ya wali na nyama,siku moja nikaitwa kwenye ofisi ya second master, kwa kesi ya kumkaba koo kaka mkuu wa shule kwa kosa la kumzuia asichuke msosi ,wakati siku ya tukio nilikuwa wa mwisho kuchukua msosi.
Na wewe ulikuwa jack chain siku ya wali πππππ
Hapana si unajua wadada hawanaga amsha amsha kama boys ππNa wewe ulikuwa jack chain siku ya wali π
HahahaπππKuna jamaa aliteleza kwenye korongo alikalia makalio paaah na kuslide down but wali ulikuwa salama kwenye "shkwambi" (bakuli kubwa) Kindoroko sec hiyo Mwanga pale π€£π€£π€£