Ndo mana mikopo haikwepeki mana bajeti yeti hairuhusu kufadhiri mamirdi kama hiyo ilikuwa ukurupukaji tuHizo bajeti ulizoandika umejitungia, haiwezekani kwa serikali kufanya kitu kama hicho.
Hiyo miradi inayoendelea ingefanyika vipi kwa akili hama hizo ulizozielezea?.
Ndio akasema sasa Dar ni kama London 😆😆😆👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿Msisahau rais Mwinyi alizindua daraja la juu la wapita kwa miguu Manzese.
Mayagilo na bendi ya polisi walitumbuiza umati mkubwa.
Hakuna asiyekopa duniani cha maana ni kulipa kile unachokopa.Ndo mana mikopo haikwepeki mana bajeti yeti hairuhusu kufadhiri mamirdi kama hiyo ilikuwa ukurupukaji tu
Hehe ....Ndio akasema sasa Dar ni kama London 😆😆😆👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿
Mkuu ukisikia nchi inasogea kutoka katika uchumi wa chini na kuingia ule wa kati maana yake kuna kazi kubwa inafanyika, hauji tu hivi hivi.Ndo mana mikopo haikwepeki mana bajeti yeti hairuhusu kufadhiri mamirdi kama hiyo ilikuwa ukurupukaji tu
Huwezi kuthubuti at the expense of sufferings. Kumbuka ni kipindi chake ambapo ajira zote zilipigwa Pini, midhahara ukabaki vilevile bila kuongezwa ndo ikazalisha neno vyuma kujaza kwa mara ya kwanza tangu tupate uhuruMkuu ukisikia nchi inasogea kutoka katika uchumi wa chini na kuingia ule wa kati maana yake kuna kazi kubwa inafanyika, hauji tu hivi hivi.
Unachoshindwa kukifahamu ni uhusiano wa miradi inayofanya kazi na kuzalisha pesa kupitia makusanyo ya kodi na ukuaji halisi wa kiuchumi, hivyo ni vitu viwili vinavyokwenda pamoja, vinategemeana miaka yote.
Hayati JPM alikuwa na uthubutu wa hali ya juu, alianzisha miradi yenye kuhusiana moja kwa moja na nchi kusogea katika uchumi wa kati na hatimaye uchumi wa juu kabisa.
Suffering ipo kila kona ya dunia hii, hakuna kizuri kinachokuja bila ya kujinyima na kutoka jasho.. Soma historia za mataifa makubwa utakutana na kazi ngumu yenye kuongozwa na nidhamu.Huwezi kuthubuti at the expense of sufferings. Kumbuka ni kipindi chake ambapo ajira zote zilipigwa Pini, midhahara ukabaki vilevile bila kuongezwa ndo ikazalisha neno vyuma kujaza kwa mara ya kwanza tangu tupate uhuru
Kwa hiyo watu wafe kwanza kwa njaa then maisha watayakuta mbele au siyoSuffering ipo kila kona ya dunia hii, hakuna kizuri kinachokuja bila ya kujinyima na kutoka jasho.. Soma historia za mataifa makubwa utakutana na kazi ngumu yenye kuongozwa na nidhamu.
Vyuma kukaza ni kila mahali, pesa ikiwa nyepesi sana kupatikana kuna mahali pana shimo kubwa na linateketeza uchumi mzima.
JPM pesa aliyoibana ilijenga miradi mingi na ya maana kwa uchumi mpana. SGR tuliyolia wakati ikianza kujengwa, inakwenda kuufungua ukanda mzima wa kati, ni juu yangu mimi na wewe kufikiria kuzalisha vitu vyenye soko huko nje kuliko kulialia na kulaumu awamu ya JPM ambaye mwezi March mwaka huu inatimia miaka miwili akiwa amelala kaburini Chato.
Kufa wamekufa kabla hata hatujazaliwa. Hakuna maisha ya raha bila ya jasho kwanza.Kwa hiyo watu wafe kwanza kwa njaa then maisha watayakuta mbele au siyo
Kifo ni cha kila mtu, hakuna anayedumu chini ya jua. Ukimchukia wewe wapo mamilioni watakaomkumbuka daima.Ndo mana tumemuua yeye kabla hajatuua
Uuaji ni tuhuma tu mkuu huna uwezo wa kuthibitisha hadharani, hivyo viroba vya maiti za watu vinaokotwa mpaka kesho.Nani amkubuke muuaji yule. Lisu amekoswakoswa mungu akamuokoa