Nikikumbuka enzi zile ndege ilinunuliwa moja halafu nchi nzima inahamia uwanjani kuilaki na kuiombea, nacheka sana

Hizo bajeti ulizoandika umejitungia, haiwezekani kwa serikali kufanya kitu kama hicho.

Hiyo miradi inayoendelea ingefanyika vipi kwa akili hama hizo ulizozielezea?.
Ndo mana mikopo haikwepeki mana bajeti yeti hairuhusu kufadhiri mamirdi kama hiyo ilikuwa ukurupukaji tu
 
Msisahau rais Mwinyi alizindua daraja la juu la wapita kwa miguu Manzese.
Mayagilo na bendi ya polisi walitumbuiza umati mkubwa.
Ndio akasema sasa Dar ni kama London 😆😆😆👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿
 
Ndo mana mikopo haikwepeki mana bajeti yeti hairuhusu kufadhiri mamirdi kama hiyo ilikuwa ukurupukaji tu
Mkuu ukisikia nchi inasogea kutoka katika uchumi wa chini na kuingia ule wa kati maana yake kuna kazi kubwa inafanyika, hauji tu hivi hivi.

Unachoshindwa kukifahamu ni uhusiano wa miradi inayofanya kazi na kuzalisha pesa kupitia makusanyo ya kodi na ukuaji halisi wa kiuchumi, hivyo ni vitu viwili vinavyokwenda pamoja, vinategemeana miaka yote.

Hayati JPM alikuwa na uthubutu wa hali ya juu, alianzisha miradi yenye kuhusiana moja kwa moja na nchi kusogea katika uchumi wa kati na hatimaye uchumi wa juu kabisa.
 
Huwezi kuthubuti at the expense of sufferings. Kumbuka ni kipindi chake ambapo ajira zote zilipigwa Pini, midhahara ukabaki vilevile bila kuongezwa ndo ikazalisha neno vyuma kujaza kwa mara ya kwanza tangu tupate uhuru
 
Suffering ipo kila kona ya dunia hii, hakuna kizuri kinachokuja bila ya kujinyima na kutoka jasho.. Soma historia za mataifa makubwa utakutana na kazi ngumu yenye kuongozwa na nidhamu.

Vyuma kukaza ni kila mahali, pesa ikiwa nyepesi sana kupatikana kuna mahali pana shimo kubwa na linateketeza uchumi mzima.

JPM pesa aliyoibana ilijenga miradi mingi na ya maana kwa uchumi mpana. SGR tuliyolia wakati ikianza kujengwa, inakwenda kuufungua ukanda mzima wa kati, ni juu yangu mimi na wewe kufikiria kuzalisha vitu vyenye soko huko nje kuliko kulialia na kulaumu awamu ya JPM ambaye mwezi March mwaka huu inatimia miaka miwili akiwa amelala kaburini Chato.
 
Kwa hiyo watu wafe kwanza kwa njaa then maisha watayakuta mbele au siyo
 
Kufa wamekufa kabla hata hatujazaliwa. Hakuna maisha ya raha bila ya jasho kwanza.

Hollywood wapo mamilionea kina Eddie Murphy pia wapo watu wanaolala katika maboksi, maisha yana pande mbili.
 
Ndo mana tumemuua yeye kabla hajatuua
 
Back
Top Bottom