Nikikutana na Majaliwa aliyejinadi kufungua mlango wa ndege ya Precision namcharaza viboko kweli kweli! Watanzania ifikie pahala tutumie akili

Mungu akiingia Mjini kwa ajili ya kumuinua mtu wake aliyemkusudia Hakuna lisilowezekana.
Kama Mtume Petro alitoka kwenye Jela lenye mageti manne mfululizo Hadi kufika n'je bila kuvunja kokote lakini mageti yakafunguka yenyewe

Je inashindikana vipi kwa Majaliwa Mlango kumfungukia au Dirisha kuvunjika Ili aokoe hao waliokusudiwa kuokoka? Na yeye aifikie Destiny yake?
 
Hapo kwenye mlango kufunguliwa kwa ndani nasapoti 100%. Nimesafiri sana kwa ndege. Mlango unaofungwa kama ulivyo mfuniko wa deli la ice cream unafunguliwaje kwa kubamizwa???
Nilitukanwa sana hyo jana baada ya kuhoji hii story.
 
Kudanganya kwanwi alijua yanayo sasa mjia!!! Tuliza boli.. badala ya kujiuliza ndege imetokewa na nini mbele baada.. unaleta hasira.. rabishwi
 
Kaangalie jinsi mlango ulivyofunguka na siyo kunipotezea muda wangu bure
 
With my little knowledge of aircrafts , it is not possible to open the exit doors. Before take off the pilot arms the doors , decompressed the cabin. There is no outside latch to open the door. The hero should demonstrate visually how he opened the door. The door was 100% opened from inside.
 
Itandike ccm sio huyo kijana.
 
Wapumbavu ndio waliweza kumuamini huyo kinda. Ana nguvu gani ya kuvunja kioo cha ndege. Watanzania wengi wetu ni mazuzu sana.
 
Imenichukua muda sana na mpaka sasa bado siamini mlango wa Ndege vile ulivyo ikawa ni rahisi tu kwa Kasia

Lakini bado tunabaki kusema kama si kuhoji kwanini Uokoaji ukichelewa kwenye eneo la tukio kwa wenye mamlaka?
 
Acheni uongo. Pressure ilipunguaje ndani wakati pia ya ndege ilipobunjika maji yalipanda ndani kuelekea mkiani hela ikawa compressed ndani. In fact mlango ulipaswa funguka kwa nguvu zaidi. Labda kam ndio ulimhonga sio kwamba wala nini.

Narrations za watu wengi sio sahihi na pengine nae ana sifa zake ila maelezo yake alipaswa kuwa kimya apumguze maneno.


Katika uokoajia hakuna anayejua alitoka watu wanapiga na wanapiga walikufa katika uokoajia wake usiyo na utaalamu? It's possible anaweza kuwa alikuwa blockage mlangoni.

Bahati hiyo dege haikuwa katka kina kirefu kidogo. Yaani mahali ingegonga chini ila kuna kina cha kutosha kuzama ikinyonya maji. Kufungua mlango kabla ndege haijatafutiwa namna ya kukaa juu. Ingezama kabisa.
 
Bado kulikuwa na hewa ndio maana watu hawakufa wote wakati zoezi lilichukua muda mrefu.
Una shauri akae kimya kwa sababu wewe hutaki kukubali majibu anayotoa baada ya kuulizwa na waaandishi wa habari?
Unafikiri yeye alienda kuomba press aelezee jinsi alivyo waokoa watu bila kufuatwa na waandishi?
Unataka akae kimya sababu wewe hutaki kusikia anachosema? Nani amekuambia sisi tunataka kusikia/kusoma unachofikiri wewe?
Wewe, sisi, na waandishi hatukuwepo kwenye tukio, aliyekuwepo na kuokoa anayo haki ya kuelezea kilichotokea au alicho ona eneo husika.
 
Mtoa Uzi acha makasiliko alikua kapangiwa kufanikia wa namna hiyo angeokolewa ndugu yako usingesema hayo yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…