Nikikutana na Majaliwa aliyejinadi kufungua mlango wa ndege ya Precision namcharaza viboko kweli kweli! Watanzania ifikie pahala tutumie akili

Mwenye Enzi Mungu tuhurumie nchi yetu Tanzania [emoji1241][emoji22]
 
Unawalaumu wanaomwamini Majaliwa wakati wewe unamwamini mboye wa chadede na unataka tukuone upo sawa kabisa.

Dunia ulinwengu wa fujo.
 
kwenye kuufungua mlango hili suala lipo wazi nimemsikiliza Auditor aliyepona kwenye ajali Nickson Jackson anaeleza Kwa umakini bila kupepesa Wala kuacha kitu , anasema wazi aliyefungua mlango ni muudumu. Hili sio la kujadili Sana
 
ACHA WIVU..
 
kulikuwa na teamwork na wote ni mashujaa,huwezi sema kijana kadanganya,adanganye ili iweje kwa mfano🤔physics sio solution kwa matatizo yote,kuna Mungu!Alafu punguza matusi alaa
 
Acha hasira bro!mbona kama uko na wivu na majaliwa🤣
 
Kuna vitu viwili navyojuwa Mimi inalazimu kuokolewa tu ndio uwe manusura...navyo ni maji na moto!!!mlango utajiloki tu...hizo ni Ilimu ya tafakuri ya kadari Kwa tunaoelewa hatumkatalii Majaliwa
 
Acha wivu
 
Bulaza punguza nyivu
 
Kwa hiyo na wewe unataka kutuaminisha kwamba kile kioo ni kigumu kuliko chuma, sivyo? Ndege imekita chini, sehemu ya mbele imepinda( chuma) ila kioo hakijavunjika( kigumu kuliko chuma!)... tafiti vizuri
 
Tumempa ulinzi, jaribu kumchapa viboko uone.
 
2. Kwahiyo hakukuwa na kishindo!?
Hii nchi ina wajuaji wengi mno.
 
Kwa jinsi nilivyoelewa mimi, walioko ndani walifungua mlango lakini hawakuweza kuufungua wote ili watoke kutokana na maji kuusukuma mlango, hivyo Majaliwa alimalizia kuufungua kwa nje kwa kutumia kasia yaani kuingiza kasia na kuubetua mlango ufunguke

Kuhusu Rubani hata Mkuu wa Mkoa alithibitisha kwenye maelezo yake kuwa watu walioko uwanja wa ndege walikua wakiwasiliana na Rubani.
 

Ongeza hapo tusi langu moja
 
Kijana majaliwa ni wa hovyo nikikutana naye tena ni wa Kupigwa viboko na kufundishwa maadili anaongopea nchi
Tulichotaka ni watu waokolewe. Sasa wewe na visomo vyenu mlitaka watu wafie ndani ili ujue ulichojifunza shuleni ndio sawa.
Mungu anahitaji watu wa kufanya nao kazi ili wafike pale walipokusudiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…