Nenda hospital. Kna sababu nyingi sana na hakuna atakayeweza kujua bila kukufanyia diagnosis, yaani dakta. Wakati mwingine hata uvimbe tumboni unaweza kuleta shida kama hiyo. Sababu ni nyingi mno.Ndugu wanaJf natumaini wote mko na afya njema, nirudi kwenye mada,
Nina tatizo ambalo limekuwa linanisumbuwa Kwa muda mrefu, Kila nikila chakula kidogo tu tumbo huwa linajaa ni kama vile nimekula chakula kingi. Pia inachukua muda mrefu hadi nianze kuhisi njaa. Naomba mwenye kujua hili tatizo aniambie ili nilitafutie ufumbuzi.
Asanteni