Nikimpata anipendae ntampenda sana na atajuta kwanini hatukukutana mapema

Kwani kuna tofauti gani kati ya Mwanamke ambaye ameshawahi kuolewa lakini hakuzaa na yule asiyekuwa na bikira, mi nadhani ungesema una bikira ndo ungeonekana we una tabia njema lakini kama ulishawahi kuziniwa kutoolewa kunakuongezea sifa gani.
haaaaaaaaha yani rudi ukasome maelezo vema acha kukurupuka kwani kuna sehemu nimeandika sio bikra duuuuhu ka ni mwanaume hakika una homoni za kike yani unatabia za kike
 
Hivi mnamaanisha nisiingie huku mpaka nifikishe miaka 29? Mnanionea...
 
haaaaaaaaha yani rudi ukasome maelezo vema acha kukurupuka kwani kuna sehemu nimeandika sio bikra duuuuhu ka ni mwanaume hakika una homoni za kike yani unatabia za kike
Mbona nimekupm lakini kimya kulikoni!!
 
Natamani kuja lakini nahisi unatania tuuuu...
 
Ndio maana hujaolewa wala hakuna wa kukupa mimba hadi umri huo NA HAUTOMPATA kwa vile wewe unamtafuta wa "vigezo vyako" halafu anapokuja na yeye anaangalia "vigezo vyake" anaona HAUKIZI VIGEZO VYAKE anasepa. Wadada kumbukeni tofauti ya kumtaka mume na kumtaka boyfriend maana jukumu la kumpata MUME BORA MPE MUNGU ila wewe angalia vile vilivyo vya muhimu tu.
 
sio marijari wanaume feki
 
kwa staili hiyo huwez pata mwanaume,mambo ya kuwekeana masharti au misifa kibaooo hivi unataka mwanaume au unataka misifa?
 
Umejiunga juzi, hii thread yako ya tatu unatafuta mtu. Usikubali kuonekana una shida kiasi hiko, utaishia kupata wajanja tu wakutumie wapotee.
 
Wewe mwenyewe ulikuwa mweusi tiii baada ya kutumia carolait leo unataka mwanamme mweupe, MAJANGA
 

Huyu hakukuoa/kakumwaga? Natafuta mchumba ambae badae awe mume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…