Nikimsikia Samia akizungumzia uchumi. Natabasamu nawapongeza watanzania sana

Nikimsikia Samia akizungumzia uchumi. Natabasamu nawapongeza watanzania sana

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Faida anayoiona ya kahawa ni kufanyia scrubbing. Siku hiyo hiki ndo kipengele aliweza kukielezea vizuri zaidi na kwa muda mrefu.

🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭

Nyie Watanzania mkiendelea na akili hizi hamtaendelea kamwe.
 
kwani aliyekwambia mule kuna kitu nani? ogopa sana mtu anayeambiwa ukweli anawaka badala ya kuutafakari na kuchukua hatua stahiki.
 
Back
Top Bottom