Gobole Lenye Risasi JF-Expert Member Joined Oct 31, 2014 Posts 11,519 Reaction score 23,693 Jun 18, 2025 #1 Faida anayoiona ya kahawa ni kufanyia scrubbing. Siku hiyo hiki ndo kipengele aliweza kukielezea vizuri zaidi na kwa muda mrefu. 🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭 Nyie Watanzania mkiendelea na akili hizi hamtaendelea kamwe.
Faida anayoiona ya kahawa ni kufanyia scrubbing. Siku hiyo hiki ndo kipengele aliweza kukielezea vizuri zaidi na kwa muda mrefu. 🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭 Nyie Watanzania mkiendelea na akili hizi hamtaendelea kamwe.
Powell Gonzalez JF-Expert Member Joined Jun 28, 2023 Posts 1,662 Reaction score 3,017 Jun 18, 2025 #2 Nchi ya hovyo sana hii
Gobole Lenye Risasi JF-Expert Member Joined Oct 31, 2014 Posts 11,519 Reaction score 23,693 Jun 18, 2025 Thread starter #3 Powell Gonzalez said: Nchi ya hovyo sana hii Click to expand... Nacheka sana.... Maana nashindwa hata kusikitika.
Powell Gonzalez said: Nchi ya hovyo sana hii Click to expand... Nacheka sana.... Maana nashindwa hata kusikitika.
J Janja weed JF-Expert Member Joined Nov 20, 2020 Posts 3,527 Reaction score 6,306 Jun 18, 2025 #4 kwani aliyekwambia mule kuna kitu nani? ogopa sana mtu anayeambiwa ukweli anawaka badala ya kuutafakari na kuchukua hatua stahiki.
kwani aliyekwambia mule kuna kitu nani? ogopa sana mtu anayeambiwa ukweli anawaka badala ya kuutafakari na kuchukua hatua stahiki.