D
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] namsubiri aje ajisomee jibungoja aje zero hapa hahaaaaaaaaaaaaaa
Achana na yule aliyeniomba Vocha wakati niko hoi kitandani naumwa .
Niko na huyu bidada moyo wangu ameshaukamata.
Yna4 kwa nini nikufiche mama kila nionapo Coment yako kamoyo kanafanya pa.
Pokea zangu salamu Mr zero IQ nimenasa kwako kama inzi basi wacha nifie kwenye kidonda chako.
Popote mumuonapo Yna4 naomba mumfikishie salamu zangu .
Nitakuita uje unisaidie jibu lingine shemHapo poa kabisa shem,akiendelea na usumbufu sasa kazi ni kwako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na huo sio mtetemo tena ila itakua ni degedegeHahahaha bebe nilikua najaribu kujenga picha ya huo mtetemo
Wewe kweli ziro IQNatafuta windo jingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] So ndio majibu hayo unayoyapenda
Nataka tena...ila usiulize nn best ..nlivyomwema ,ndomaana nmekuamsha uje ktk fursa yako[emoji12][emoji12][emoji12]
Ohoooo ndomaana niliwambia ile siku aiseeHuku bora upambane pm tu yaishie huko huko ukileta siled iwe unauhakika kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si umenidekeza kupenda sasa kwanini nisipende...hahaha[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Ila weee naye unapenda mnooo khaaaaaaaahh
Sasa ulingoja nini kutokujibu hivi toka mwanzo?? hahahaNashukuru kwa kukufanya utetemeke kila uonapo comment yangu..ila nimewahiwa mie
Atakuja aliembora na wa kufanana nawe
AHSANTE SANA kwa kuwa Mwanamke wa mtetemesho kwako...[emoji12][emoji12]
Shunie ...plzzz spare my ribs[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] So ndio majibu hayo unayoyapenda
Wacha alopoke tu kweli ..ila wengine wanatakaga kujua kupitia makuzi km hayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na bora asijue muache ajiropokeshe tu hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akiiii tena nimecheka...unanizoesha vibaya ujueNataka tena...ila usiulize nn best ..nlivyomwema ,ndomaana nmekuamsha uje ktk fursa yako
Eeehhh binadam hawasikiagi mpaka yawakute tuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Halafu unawakumbusha ya maana kabisa wanajifanya hawakusikii
Aya buana ..ila ungemfikiriapo ndugu yetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Msinipe dhambi jamani
[emoji23][emoji23] kwakweliWewe kweli ziro IQ
Mama weeeeeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na huo sio mtetemo tena ila itakua ni degedege
Mama yoyooooooooo kumbeeeee ,haaaaaa kunyimishana usingizi kucha ?? Haaaaaaaa . Nitakua siingii JF sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si umenidekeza kupenda sasa kwanini nisipende...hahaha[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Ifanye siri yako bebeWacha alopoke tu kweli ..ila wengine wanatakaga kujua kupitia makuzi km hayo
Kucheka nifaida yna4[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akiiii tena nimecheka...unanizoesha vibaya ujue