Nikimuona mwili unatetemeka

Nikimuona mwili unatetemeka

Achana na yule aliyeniomba Vocha wakati niko hoi kitandani naumwa .

Niko na huyu bidada moyo wangu ameshaukamata.

Yna4 kwa nini nikufiche mama kila nionapo Coment yako kamoyo kanafanya pa.

Pokea zangu salamu Mr zero IQ nimenasa kwako kama inzi basi wacha nifie kwenye kidonda chako.


Popote mumuonapo Yna4 naomba mumfikishie salamu zangu .

Unatetemeka eneo gani mkuu? Ama unatetemeka ile sehemu pendwa? [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si umenidekeza kupenda sasa kwanini nisipende...hahaha[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Mama yoyooooooooo kumbeeeee ,haaaaaa kunyimishana usingizi kucha ?? Haaaaaaaa . Nitakua siingii JF sasa
 
Back
Top Bottom