D
Deleted member 485868
Guest
[emoji23][emoji23] usinikumbushe mieShemu wako anakuona vile unavyokula ubuyu tuuu kibonge weee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23] usinikumbushe mieShemu wako anakuona vile unavyokula ubuyu tuuu kibonge weee
Watu wabaya hatare[emoji23] [emoji23] aisee
[emoji23][emoji23] hapo vipi shem?[emoji23] [emoji23] aisee
Hahahahaha usinipe dhambiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sio kwa jibu kavu hilo majibu anayoyapenda Putin hayo
Achana na yule aliyeniomba Vocha wakati niko hoi kitandani naumwa .
Niko na huyu bidada moyo wangu ameshaukamata.
Yna4 kwa nini nikufiche mama kila nionapo Coment yako kamoyo kanafanya pa.
Pokea zangu salamu Mr zero IQ nimenasa kwako kama inzi basi wacha nifie kwenye kidonda chako.
Popote mumuonapo Yna4 naomba mumfikishie salamu zangu .
[emoji12][emoji12][emoji12]Anakuona tu unanyapia nyapiaaa
ngoja aje zero hapa hahaaaaaaaaaaaaaa[emoji23][emoji23] hapo vipi shem?
Huku bora upambane pm tu yaishie huko huko ukileta siled iwe unauhakika kabisaWatu wabaya hatare
Hapo poa kabisa shem,akiendelea na usumbufu sasa kazi ni kwako[emoji23][emoji23] hapo vipi shem?
Mie bana kazi yangu huwa nikuwakumbusha tu hawa jamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapiii Putin
Hahahaha bebe nilikua najaribu kujenga picha ya huo mtetemoAaahhhhh kutetemeka hadi kucha ilo umeongeza bebe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Si ndio majibu hayo unayoyapendaHahahahaha usinipe dhambiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na bora asijue muache ajiropokeshe tu hapoHahahahahaha aiseeeee usolijuaa..naona bonge la msonyo hahahaha.
Ila weee mtoto mbaya jamaaan mpaka umempoteza jamaaa haaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ebu niache Putin
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Halafu unawakumbusha ya maana kabisa wanajifanya hawakusikiiMie bana kazi yangu huwa nikuwakumbusha tu hawa jamaa
Ila weee naye unapenda mnooo khaaaaaaaahh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaaaniiii weh acha tu
Tiba..aende hospitalMpe tiba mwenzio,asije akapata kifafa cha kudumu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Msinipe dhambi jamaniIla weee mtoto mbaya jamaaan mpaka umempoteza jamaaa haaaaa
Hahahaha[emoji23][emoji23] usinikumbushe mie
Atazimikahahahahhahahheheheheheeeeeeeeeeeeiyaaaaaa duuuu yaani unaona tu comment tayari ushazimika sasa ukimuona live itakuwaje hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
jf kiboko