malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Habari wakuu nashida ya kupata mkojo nanikisema ninywe maji labda lita 3,nazinywa ndani ya nusu saa ila mkojo napata baada ya saa moja nanusu.
Nkipata tu mkojo mkojo wakwanza utakao toka unatoka ule mweupeee kama maji nautaendelea hivo Hadi kutimiza mkojo wa lita1.5
Je wakuu kunatatizo hapa ama
Nkipata tu mkojo mkojo wakwanza utakao toka unatoka ule mweupeee kama maji nautaendelea hivo Hadi kutimiza mkojo wa lita1.5
Je wakuu kunatatizo hapa ama