Wakati anakunywa inabidi tuendelee kuandaa nyimbo za mazishi...kunywa konyagi nne halafu uje na mrejesho kama hujalewa kuna watu watajiuzulu.
Uliona wapi mlevi akakiri amelewa ????Mkuu kuzidisha aina nyingine za vilevi huwa vinaua. Ila kiukweli nimejaribu kutumia pombe za aina nyingi lakini sijawahi kulewa.
Kwasababu hata nikiwa na wenzangu tunakunywa pamoja basi mimi ndo nitakuwa salama na kuanza kuwasaidia wenzangu. Huwa nipo fresh tu. Lakini pia watu huwa wananishangaa sana kwasababu huwa wananiona nikiwa nakunywa lakini hawaoni nikiwa nimelewa.Uliona wapi mlevi akakiri amelewa ????
Wewe bado umelewa!Mkuu nimewahi jaribu...hata hizo safari nimewahi kunywa zaidi ya tatu
We unakunywa za manzeseMkuu nimewahi jaribu...hata hizo safari nimewahi kunywa zaidi ya tatu