sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Habari za mda huu wakuu
Hili ni swala ambalo nimekuwa nikiliwaza Sana after breakup ila Kwa sasa naliona dhahiri kabisa
Ni mwaka mmoja na miezi Toka penzi liishe nilivyooachwa Yani ya uyu mdada wa kijita sababu kubwa ilikuwa haoni future kati yetu in short (LACK OF CAPITAL)
Nikakubari nikakata mazoea na mawasiliano for a while akaanza kuwa ananitafuta Tafuta na kuniuliza story za kunichimba chimba
Mara naomba pesa kama ninayo Nampa kilichokuja kunipa hitimisho Leo ni juzi kati nilionana na ndugu yake wa kiume sasa kafika uko sjui wameongea nn na dada yake
Dada mtu kanipigia simu nikaanza kuitwa majina ya kimapenzi mume nk. Nikabaki nashangaa tu mara ivi mara nimepata salamu zako nitakuja kukusalimia in fact sijamsalimia Wala sikumuongelea tulivyokutana na nduguye nilibaki nashangaa tu
Kilichokuja kunishtusha kujua yale alikuwa haongei masikhara ni aliposema HUWA NAKUOMBEA NA KUSUBIRIA UPATE PESA TU UJE UNIOE .
Hicho kitu kilichonishangaza Sana mbona huyu mtu haheshimu mipaka what if ningekuwa na mpenzi wangu apo si case na KUHARIBU mahusiano
Wanawake mkiamua amueni msiwe nusu nusu