Nikioa na kufanikiwa Ex -atakuja kuharibu ndoa na maisha yangu

Baada ya kumwambia ukweli ukabaki unashangaa. Ukimya maana yake umekunali
 
Kiufupi wewe ni TEGESHA LAKE!
Nafahamu sasa unazani nitaanza kubishana nae mkuu
Maturity it's kujua Kila kitu na kustay back ku watch kinachoendelea
 
Baada ya kumwambia ukweli ukabaki unashangaa. Ukimya maana yake umekunali
Siamini kwenye kubishana na mwanamke


She will https://jamii.app/JFUserGuide herself on her own
 
Sio kubishana ni kumpa msimamo. Sikia we binti. Uliondoka na mimi nikabaki na maisha yangu. Hayo mapenzi yameisha kitambo nna mtu. Fullstop. We anakuchana kabsa tafta ela ndo ukamuoe
Najua siwezi kumuoa ila tu sio vizuri kureact in every situation
 
Mshkaji we unajitakia mwenyewe kula buyu, usipokee simu zake kama Marioo anavyosema, usjibu text zake, hakuna anachoweza kukufanya kama utakuwa seriously na mambo yako, we ukijiweka karibu nae hutoboi utaishia kwenye mikono hake wanawake hawakosagi mbinu mkuu.

Kila shujaa kwenye vitabu vya dini anguko lake lilisababishwa na mwanamke be care usifanye masikhara na maisha mkuu.
 
Najua mno mkuu ila ninatumia akili zangu vizuri mno siwezi kuwa trapped
 
Sm
Ameondoka kwa nyodo,Amezunguka huko na alikoenda kapigwa buyu anataka kurudi kwako boya!... ngoja aje kukupa Ukimwi akili ikukae sawa.
 
Asa hawezi kuwa trapped why you’re here asking for our opinions juu ya hilo suala lako???
Sija ask popote nimeeleza tu kuwa hiki ndicho kitakuwa hakuna nilipo ask help of opinions
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…