Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Poleni sana na majukumu.
Nikiona watu wanachimba kaburi then kumfukia binadamu mwenzangu navurugwa sana kichwani. Nafikiria mambo mengi mno... Mbaya zaidi azikwe mtu ambaye namfahamu.
Nikienda makaburuni na kutizama namna udongo unavyotumeza, inasikitisha na kufikirisha mno.
Maisha baada ya kifo ndio swali zito sana linalonijia kichwani mwangu.
Unafukiwa, unaoza na kuwa udongo. Feeling yake unapokufa pia inatafakarisha sana.
Kweli siri ya maiti iajuaye kaburi.
Tutende mema wakati wote jamani.