Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Kwamba matatizo yake anahamishia kwangu ?. Nashukuru binafsi sina tabia ya ku-pass the blame wajukuu wanaweza wakalalamika kwamba tuliharibu mazingira na kuuza nchi ila sio kwanini wanashindia miguu na vichwa vya kuku, collectively huenda hatuwatendei haki taifa la kesho ila individually you need to make your own bed as you shall lie in itMjukuu wako anasoma hii comment mwaka 2095, namuona akibubujikwa na machozi na kupigapiga miguu chini huku akirusharusha mikono na kukulaumu kwa kupayuka kwamba "kama babu asingekuwa mbinafsi na mlevi na angekuwa mpambanaji basi nisingengekuwa nashindia miguu na vichwa vya kuku.
Unaelewa nini maana ya Your Heart Desires..., kama mtu roho yake inapenda kuua namshauri tu atengeneze watu wake ili aweze kuwaua sababu kuna sheria na natural justice..., furaha yako isiwe kero kwa wengine, ingawa pia sio lazima mtu ajinyime ili wewe ufaidike yaani asiwe causative ya maumivu kwako ila wewe furaha yako isiwe causitive ya maumivu kwake....Kila mtu akifanya kila anachokitaka kisa tu atakufa bila kujali italeta effect gani kwa wengine, basi dunia itakuwa chafu mara mbili.
Kwa mantiki yako wale wauaji, wezi na majambazi bila kuacha wale wanaojilipua, wote wako sahihi kufanya wanayoyafanya?
Kwahio kama mtu amepata his hard earned cash na amefanya obligations zake kuwapeleka watoto shule basi chenji inayobaki akiamua kubugia mapombe hio ni prerogative yake, so long as asije kutusumbua tusimchangie figo na kama maisha yake yatafupika basi ahakikishe wategemezi wake wapo provided for ili asije kusumbua jamii..., Otherwise tutakuwa na jamii ya wanafiki wanaojifanya do-gooders wakati in reality its like they are living in prison...
All I can say live large..., the world will be happier with happy people with smiles kuliko wanaojinyima kwa kulalamika