Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Soma hii itakupa maarifa na ujasiri mpyaNinaogopa zaidi kufa baada ya kusoma hii, Mshana Jr.
Sanaa ya kifo
Hii ni habari ngeni kabisa kwa wale watakaobahatika kusoma hii mada na pia wale wenye kupenda kujifunza vitu vipya ni sanaa ya kifo katika uhalisia wetu bila kuchanganya na doctrines za kiimani na kiasili. Kwenye mada nyingi tumeona uhayawani wa mwanadamu tumeona kwa sehemu kubwa jinsi kiumbe...