one b
JF-Expert Member
- Jun 30, 2017
- 1,483
- 3,727
Na umri huu wa miaka 30..sikuwah fikiria kuwa mzee wangu ipo siku atakuja kufa..sikuona thaman ya kitu chochote mbele ya uhai wake...nilitumia gharama yyte iliyo hitajika ili mrad tu nione tabasam lake lakin pesa sio kitu..nilijaribu kusacrifise uhai wangu ili tu yy apone lakin sikuandikiwa dhaidi ya ajal za hapa na pale tena zingine zenye ishara...anyway..Ya Mungu mengi