Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Mungu aliweka fumbo kubwa sana kwenye kifo, Mungu atabaki kuwa Mungu hakuna tajiri wala fukara kwenye kifo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimwili sawa lakini sio kirohoUnfortunately tunaambiwa waliokufa huwa kama waliolala. U don't feel anything.
Kwamba wangefanya vice versa wasingekufa ?..., All in all ushauri wangu kwa yoyote enjoy life.., do what your heart desires..., Kifo ni Inevitable
Poleni sana na majukumu.
Nikiona watu wanachimba kaburi then kumfukia binadamu mwenzangu navurugwa sana kichwani. Nafikiria mambo mengi mno... Mbaya zaidi azikwe mtu ambaye namfahamu!
Nikienda makaburuni makaburuni na kutizama namna udongo unavyotumeza, inasikitisha na kufikirisha mno.
Maisha baada ya kifo ndio swali zito sana linalonijia kichwani mwangu.
Unafukiwa, unaoza na kuwa udongo... Feeling yake unapokufa pia inatafakarisha sana.
Kweli siri ya maiti iajuaye kaburi.
Tutende mema wakati wote jamani
Aiseeee this is very terrifying experience daaah. Lakini wanasema hili ni kwa wenye madhambi, but wale waliofanya ya kumpendeza Mungu malaika wanawapa kampani.Hakuna upweke mbaya na wa kuogofya sana kama upweke wa makaburini chini ya kifusi cha mchanga kilichisindiliwa vema hasa waombolezaji wanapoondoka makaburini na kukuacha peke yako. Hiyo ni trela tuu .. Mchezo kamili ni pale kiza kinapoingia na kumbuka makaburini hakuwekwi taa labda iwe kipindi cha mbalamwezi
Siri ya kifo ni siri ya kuogofya sana maana hata my wako hawezi kulala nawe pale makaburini atabaki na walio hai wengine na hisia zake juu yako zihamie huko kwa wengine[emoji24][emoji24][emoji24]
Cha kuumiza zaidi ni kwamba haya yote unayaona kama video kwenye luninga na huna la kufanya[emoji24][emoji25]
Inategemea na aina ya usingizi. Kama ni usingizi wa jinamizi ni balaaaa kabisa.Una Option ya Kuchomwa Pia.
Anyway death cease of life, ni kama tu ukiwa kwenye usingizi wa Pono bila Ndoto wala feeling yoyote.
And then, your Walk will Be ended.
Nope Maisha yana Maana Sana (Kuishi)..., hicho Kifo ni Tamati..., sasa hao ambao wali-enjoy the ride huenda they had it better kuliko wale ambao waliweka akiba enjoyment eti sababu tu watakufa....,Naongelea maisha kutokuwa na maana km kuna kifo..si umeonahiyo mifupa?
Yeah kiimani iko hivyo kwa baadhi ya imani lakini wengine kuna reincarnationAiseeee this is very terrifying experience daaah... Lakini wanasema hili ni kwa wenye madhambi, but wale waliofanya ya kumpendeza Mungu malaika wanawapa kampani.
Watu tunahangaika kutwa kukimbizana na pesa mwisho wa siku kaburi linatungojaUkiyafikiria sana maisha unaona ni kama hayana maana vile.
Ni ngumu kumtawala kifikra mtu asiye na hofu. Hiyo ndiyo sababu dini nyingi za kisasa misingi yake ni kuweka masimulizi ya kuogofya ili kuwafanya watu wawe loyal.Alafu zile Stori za eti anakuja malaika anakutoa roho huku unaona video ya maisha yako ni uwongo mtupu na kutishana kusiko sababu.unaambiwa roho inavyotoka maumivu yake Bora uminywee pu**[emoji28] au afadhali maumivu ya kujifungua Kwa wanawake yanaanzia kwenye vidole kisha yanapanda Hadi utosini wakati roho inatoka
Wakati ukiweka zako jiko la mkaa chumbani kisha ukafunga madirisha na mlango unakufa Kama umelala,kimya kimya burudaani kabsa[emoji1]..Tunatishana Sana
KirangaMungu aliweka fumbo kubwa sana kwenye kifo, Mungu atabaki kuwa Mungu hakuna tajiri wala fukara kwenye kifo.
Acha fix mzeeHakuna upweke mbaya na wa kuogofya sana kama upweke wa makaburini chini ya kifusi cha mchanga kilichisindiliwa vema hasa waombolezaji wanapoondoka makaburini na kukuacha peke yako ... Hiyo ni trela tuu .. Mchezo kamili ni pale kiza kinapoingia na kumbuka makaburini hakuwekwi taa labda iwe kipindi cha mbalamwezi
Siri ya kifo ni siri ya kuogofya sana maana hata my wako hawezi kulala nawe pale makaburini atabaki na walio hai wengine na hisia zake juu yako zihamie huko kwa wengine[emoji24][emoji24][emoji24]
Cha kuumiza zaidi ni kwamba haya yote unayaona kama video kwenye luninga na huna la kufanya[emoji24][emoji25]
Still huwezi kukikimbia kifo hapa ndio penye maumivu makubwa zaidiBora wewe mkuu, mimi nikiyaona makaburi nawaza tu namna tunavyohangaika na dunia kisha tunaishia kufa.
Kuna muda nawaza ningekuwa sina watoto ningekuwa nikipata pesa ya kula tu natulia kufanya ibada tu, ikikaribia kuisha natoka kwenda kutafuta.
Kifo japo ni lazima ila kinanyong'onyeza tukikiwaza
Ninaogopa zaidi kufa baada ya kusoma hii, Mshana Jr.Hakuna upweke mbaya na wa kuogofya sana kama upweke wa makaburini chini ya kifusi cha mchanga kilichisindiliwa vema hasa waombolezaji wanapoondoka makaburini na kukuacha peke yako ... Hiyo ni trela tuu .. Mchezo kamili ni pale kiza kinapoingia na kumbuka makaburini hakuwekwi taa labda iwe kipindi cha mbalamwezi
Siri ya kifo ni siri ya kuogofya sana maana hata my wako hawezi kulala nawe pale makaburini atabaki na walio hai wengine na hisia zake juu yako zihamie huko kwa wengine[emoji24][emoji24][emoji24]
Cha kuumiza zaidi ni kwamba haya yote unayaona kama video kwenye luninga na huna la kufanya[emoji24][emoji25]