Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Hata mimi huwa naamini hivyo, kifo ni usingizi usio na ndoto. Hauhisi chochote kama ulipokuwa haujazaliwa.Una Option ya Kuchomwa Pia....
Anyway death cease of life, ni kama tu ukiwa kwenye usingizi wa Pono bila Ndoto wala feeling yoyote.
And then, your Walk will Be ended....
Unfortunately tunaambiwa waliokufa huwa kama waliolala. U don't feel anything.Hakuna upweke mbaya na wa kuogofya sana kama upweke wa makaburini chini ya kifusi cha mchanga kilichisindiliwa vema hasa waombolezaji wanapoondoka makaburini na kukuacha peke yako ... Hiyo ni trela tuu .. Mchezo kamili ni pale kiza kinapoingia na kumbuka makaburini hakuwekwi taa labda iwe kipindi cha mbalamwezi
Siri ya kifo ni siri ya kuogofya sana maana hata my wako hawezi kulala nawe pale makaburini atabaki na walio hai wengine na hisia zake juu yako zihamie huko kwa wengine[emoji24][emoji24][emoji24]
Cha kuumiza zaidi ni kwamba haya yote unayaona kama video kwenye luninga na huna la kufanya[emoji24][emoji25]
Kwamba wangefanya vice versa wasingekufa ? All in all ushauri wangu kwa yoyote enjoy life, do what your heart desires. Kifo ni Inevitable na unafanya mema sio sababu kwamba kesho utakufa bali sababu its the right thing to do (according to your conscious), ila kama conscious yako haikusuti na kukitembeza kwa mademu ndio furaha yako basi do what your heart desires life is shortMaisha ni fumbo Nene Sana imagine,hawa waliolala wengine walijisifu wao ni matajiri Sana,wengine wanakitembeza Sana Kwa mademu,wengine ukatili,wengine walijisifu wazuri Sana lakini Leo ni mifupa mikavu
Kila kitu hapa duniani ni ubatili mtupu na hakuna Jambo lolote lenye maana..Ila tusichoke kutenda mema
Mkuu, kapicha nasi tuone kama kuna jamaa na marafiki.Nipo mochwar kahama naangalia miili 20 iliyopata ajali jana ili nione Kama nitaitambua nimeangalia maiti hadi nmejikuta kama nmezizoea japo kifo hakizoeleki
Kupiga picha marehemu siyo uungwana mkuu Ila watu wamepoteza watoto ndugu baba Kaka ni vilio tuMkuu, kapicha nasi tuone kama kuna jamaa na marafiki.
Alafu zile Stori za eti anakuja malaika anakutoa roho huku unaona video ya maisha yako ni uwongo mtupu na kutishana kusiko sababu.unaambiwa roho inavyotoka maumivu yake Bora uminywee pu**[emoji28] au afadhali maumivu ya kujifungua Kwa wanawake yanaanzia kwenye vidole kisha yanapanda Hadi utosini wakati roho inatokaHata mimi huwa naamini hivyo, kifo ni usingizi usio na ndoto. Hauhisi chochote kama ulipokuwa haujazaliwa.
Hivi hii ajali imetokea Mwakata eti?Kupiga picha marehem siyo uungwana mkuu Ila watu wamepotesa watoto ndugu baba Kaka ni vilio tu