Nikipata Matokeo ya Kufungwa kwa TP Mazembe na Real Bamako leo sitopoteza muda wangu Kutizama Mechi ya Yanga

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Naomba mwenye kujua Mechi ya Real Bamako FC na TP Mazembe FC ni Saa ngapi anitaarifu tafadhali.

Nitakuwa na Mzuka wa Kuiangalia Mechi ya Yanga FC na Monastir pale tu nikisikia TP Mazembe FC ameshinda huko nchini Mali.

Kwa wenye Akili tunajua kuwa endapo TP Mazembe itafungwa na Real Bamako FC tayari automatically Yanga SC itakuwa imeshafuzu Robo Fainali kwani hata kama Yanga SC watafungwa na Monastir FC Jijini Dar es Salaam itakuwa imeshafuzu.

Nawatakia Monastir FC kila la Kheri.
 
Vipi jana Simba kanunua wachezaji gani wa Horoya? Maana haiwezekani ashinde goli zote zile bila mizengwe(GENTAMYCINE, 2023).
Vipi siku ile yanga ilipotwangwa 5-0 na simba ilinunuawachezaji gani
 
Naomba mwenye kujua Mechi ya Real Bamako FC na TP Mazembe FC ni Saa ngapi anitaarifu tafadhali.

Nitakuwa na Mzuka wa Kuiangalia Mechi ya Yanga FC na Monastir pale tu nikisikia TP Mazembe FC ameshinda huko nchini Mali.

Kwa wenye Akili tunajua kuwa endapo TP Mazembe itafungwa na Real Bamako FC tayari automatically Yanga SC itakuwa imeshafuzu Robo Fainali kwani hata kama Yanga SC watafungwa na Monastir FC Jijini Dar es Salaam itakuwa imeshafuzu.

Nawatakia Monastir FC kila la Kheri.
Hawa ndo magenious sasa.njo hapa soweto lounge
 
Tune
IMG_20230319_142409.jpg
 
Mechi zote ni muda mmoja, kwa hiyo kaa kwa kutulia kabisa.
CAF Wameharibu kwa hii Ratiba yao hasa hasa muda kuwa huo huo Mmoja tu.

Anyways naitakia Kila la Kheri Monastir FC.
 
Back
Top Bottom