GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tuwaombee tu watani washinde nao wafuzu wafurahi.Huko caf kila post ni simba.Na mvua imeanza dawa zishaharibika hukoNaomba mwenye kujua Mechi ya Real Bamako FC na TP Mazembe FC ni Saa ngapi anitaarifu tafadhali...
Naona Leo umeamuka vizurriNaomba mwenye kujua Mechi ya Real Bamako FC na TP Mazembe FC ni Saa ngapi anitaarifu tafadhali...
Vipi siku ile yanga ilipotwangwa 5-0 na simba ilinunuawachezaji ganiVipi jana Simba kanunua wachezaji gani wa Horoya? Maana haiwezekani ashinde goli zote zile bila mizengwe(GENTAMYCINE, 2023).
Muulize GENTAMYCINE. Hujui hata kusoma mkuu?Vipi siku ile yanga ilipotwangwa 5-0 na simba ilinunuawachezaji gani
Hawa ndo magenious sasa.njo hapa soweto loungeNaomba mwenye kujua Mechi ya Real Bamako FC na TP Mazembe FC ni Saa ngapi anitaarifu tafadhali.
Nitakuwa na Mzuka wa Kuiangalia Mechi ya Yanga FC na Monastir pale tu nikisikia TP Mazembe FC ameshinda huko nchini Mali.
Kwa wenye Akili tunajua kuwa endapo TP Mazembe itafungwa na Real Bamako FC tayari automatically Yanga SC itakuwa imeshafuzu Robo Fainali kwani hata kama Yanga SC watafungwa na Monastir FC Jijini Dar es Salaam itakuwa imeshafuzu.
Nawatakia Monastir FC kila la Kheri.
Yule admin wa CAF ni Simba lialia, ila kituo kinachofuata Sasa ni Mamelodi Sundowns.Tuwaombee tu watani washinde nao wafuzu wafurahi.Huko caf kila post ni simba.Na mvua imeanza dawa zishaharibika huko
Mashindao bado mzee, Hapa bado tuende Casablanca tukalipize kisasi kwa RajaYule admin wa CAF ni Simba lialia, ila kituo kinachofuata Sasa ni Mamelodi Sundowns.
We ndo unapanga droo mkuu?Yule admin wa CAF ni Simba lialia, ila kituo kinachofuata Sasa ni Mamelodi Sundowns.
CAF Wameharibu kwa hii Ratiba yao hasa hasa muda kuwa huo huo Mmoja tu.Mechi zote ni muda mmoja, kwa hiyo kaa kwa kutulia kabisa.
Hiyo Sentensi yako ya mwisho imenifanya Nicheke hadi hapa nilipo Watu wananishangaa Mkuu.Tuwaombee tu watani washinde nao wafuzu wafurahi.Huko caf kila post ni simba.Na mvua imeanza dawa zishaharibika huko
Siku zingine naamka vibaya? Wewe ni Mke wangu mpaka ujue Mood yangu kwa Siku husika?Naona Leo umeamuka vizurri
Akikujibu nitagi tafadhali.Vipi siku ile yanga ilipotwangwa 5-0 na simba ilinunuawachezaji gani