Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
6m ni nusu ya kipato changu kwa mwezi na mimi sijaiba hata kuku zakoHiyo hela ndogo kwa fisadi au kwa mtu alirithi mali lakini kwa mtu wa kawaida kuitafuta hipo kazi ndugu
Uongooo bana6m ni nusu ya kipato changu kwa mwezi na mimi sijaiba hata kuku zako
Sio wote majizi duniani na hizo ni fikra za kumasikini
Mtoto wangu wa miaka 12 ana account yake mara 4 ya hizo na sio za wizi bali namuwekea kila mwezi kwa jasho langu
Najua hii Dunia tunaiacha lazima niwaandalie maisha yao upo hapo
Majibu ya kimasikini utayajuaUongooo bana
Majibu ya kimasikini utayajua tu
Nidanganye kwa manufaa ya nani?
Nina miaka zaidi ya 60 naishi nje sasa nishindwe kuwa na hela
Umasikini mbaya sana pole
Mawazo ya kishirikina yamekujaa wewe
Una idea leta nikupe hela
Mimi mwenyewe najishangaaUtajichosha mbona
Hiyo hela ananunua Xiaomi Mi Mix Alpha yote inaisha na bado anadaiwa[emoji23][emoji23]Hiyo hela unanunua I phone 14 moja na chenji kidogo
Majibu ya kimasikini utayajua
Umasikini mbaya sana pole
Mawazo ya kishirikina yamekujaa wewe
Una idea leta nikupe hela
Hawa ndio huwa wana rubber stamp kichwani kuwa kila mwenye hela ametoa kafara[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaa anakataa wakati hata hakufahamu
Nina 30M hapa hata sijui nizalishe vipi.Mipango ya uhakika ipo mezani
Mipango sio matumizi, kwenye hii Dunia panga uwezavyo ila kufikia lengo muachie Mungu.
Mimi nilishawahi kuomba nipate hata M2 tu, nikapata M13, ila baada ya mwezi ni masikini sina hata mia, hapo ujue mimi sio mlevi wa aina yoyote ile.
Kwahiyo ukiipata hiyo hela omba ulinzi wa Mungu, Kwakuwa hiyo kazi utaifanya na binadamu.
Tumia akili ukisoma kitu, wapi nimesema atapoteza?Kwahiyo unamaanisha ukipoteza wewe basi watu wote watapoteza kama wewe?[emoji276]
KakopeMipango ya uhakika ipo mezani